Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

Ilimsaidia kufuata utaratibu wa kuwa raia au humsikii Chiligati kwenye hiyo audio? Leo angekuwa Mbunge?
Kama vile unajibu majibu mawili swali moja,jibu lako la awali haliendani na hayo maelezo..mfano wewe taratibu gani unazifata kuwa raia wa nchi hii ???
 
Kama vile unajibu majibu mawili swali moja,jibu lako la awali haliendani na hayo maelezo..mfano wewe taratibu gani unazifata kuwa raia wa nchi hii ???
inaonekana hujamuelewa na Jinome. Ukisikiliza vizuri audio, Bashe hakuwa raia wa kuzaliwa wala kujiandikisha, hivyo alipaswa kufuata utaratibu wa kuwa raia, sasa ukiuliza taratibu gani zinatakiwa kufuatwa hata kwa mzawa, unaleta siasa
 
Acha na Makarai ya zege hayo yamedandia mada.
 
Kama hujui Bashe aliikosoa nini serikali huku umekuja kufanya nini?
Unataka kuaminisha wana JF kuwa wako humu kujua nani alifanya nini? Kweli karai la zege. Ningekuwa Trump2 ningekutukana.
 
Unataka kuaminisha wana JF kuwa wako humu kujua nani alifanya nini? Kweli karai la zege. Ningekuwa Trump2 ningekutukana.
Mpumbavu yeyote silaha yake juu ni matusi, unaweza kutukana kwa niaba yake haina Shida.
 
We boya sana...unamfanisha Askof na Bashe?
Usitukane,inawezekana ufahamu wako na wake ni tofauti,na ndio maana darasani mtihani wengine wanapata 100 na wengine 0 lkn wote mmefundishwa na mwalimu mmoja.
 
FB_IMG_1563820390114.jpg
 
Ogopa sana maandishi unaweza kujuta kwa nini uliandika maana hudumu milele
 
Sheikh Mohamed Baba yake Hussein Bashe aliomba Uraia wa Tanzania 1986 wakati huo tayari Hussein Bashe ameshazaliwa

Ili uwe Mtanzania wa kuzaliwa bila ya masharti unatakiwa uzaliwe Tz na wakati unazaliwa Wazazi wako wote wawe wa Tz

Ikitokea wakati unazaliwa mmoja wa Wazazi wako sio wa Tz basi sharti ukakane uraia wa Wazee wako ukifika age of majority

Kama Hussein itathibitika hakuwahi kukana Uraia wa Baba yake alipofikisha age of majority basi mpaka Leo atakuwa ana Uraia usio kamilika

Ni vyema ajitokeze kuweka hili sawa akiona inafaa
 
Ndugu wawili wanapogombana, wewe chukua jembe ukalime. Watakapopatana watakukuta wewe tayari unavuna wakati wao hawana cha kuvuna, ndipo watatambua ujinga wao.
Mkuu upoooo vp umeshavuna gunia ngapi nikusaidie sokoo ya Wizkid!???
 
Mkuu upoooo vp umeshavuna gunia ngapi nikusaidie sokoo ya Wizkid!???
Njoo tule pamoja ndugu yangu. Mimi niliwaacha wagombane nikijuwa watapatana tu, sikutaka wanipotezee muda wangu. Sasa nina magunia zaidi tani 500
 
Katika kura za maoni 2010 kwa wagombea ubunge wa CCM Jimbo la Nzega Mh Bashe aliongoza akifuatiwa na Lucas Selelii na namba 3 ikashikwa na Dr Kigwangalla aliyekuwa akihudumu pale WAMA chini ya first lady Mama Salma.

Bashe alitoswa kwa kigezo cha uraia kwamba ni Msomali na Selelii alielezwa kama asiye na mvuto hivyo Dr Hamis akapitishwa.

Katika ufafanuzi wake Katibu Mkuu wa CCM wakati huo Mzee Makamba alisisitiza kuwa Bashe anapaswa kukumbuka kuwa CCM ina "wenyewe"

Nadhani leo Naibu Waziri wa Kilimo Mh Bashe atakuwa anajiuliza sasa hao wenye CCM ndio akina nani?

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom