Kwa hiyo mnaona ni busara CC kumpitisha aliyepata kura 2,700 na kumwacha aliyepata 14,000, hiyo tofauti ya kura zaidi ya 10,000 mnataka ziende wapi CC waache mchezo wawe makini.
Naomba kuuliza. Ninavyojua , kamati kuu inatoa mapendekezo na siyo maamuzi. NEC ndiyo inaamua nani apewe hiyo nafasi baada ya kupitia mapendekezo ya kamati kuu na hivyo hivyo kamati kuu ina toa mapendekezo baada ya kupitia maoni na mapendekezo ya kamati ya maadili, kamati za siasa za mkoa na wilaya.
itawezekanaje hii mkuu, kama tayari ameshapikiwa zengwe la uraia?
Atapewa ukuu wa wilaya na Dr Slaa? maana ndiye Rais ajaye au hapo sijaelewa vizuri.
Huyu BASHE kasoma pale mzumbe university kwa mkopo wa serikali leo hii mnasema sio raia.
Lets try to be serious unaweza kuta zengwe la CCM tuu kutaka kumrudisha Seleliiii.Basi wamtose na Lowasa alieshinda kwa kura 40,000 ambazo nina wasi wasi wale wafugaji kufika idadi iyo wakati majimbo mengi figures zao kufika 40,0000 ni issue
ILa kwa mbali kuna fununu kwamba huyu Bwana Bashe hana mahusiano mazuri na mtoto wa MH.Rais Ridhwani Kikwete hasa baada ya uchaguzi wa makamo mwenyekiti wa UVCCM Taifa ambapo bwana Bashe alishiriki na Swahiba wa Ridhwani Bwana Beno Malisa..!![/QUOTE]
Hili ndilo sababu kuu wala siyo nini wala nini! Ni kwa mara nyingine Ridhwan anaonyesha nguvu ya mkono wake kumwelekeza baba nini atende na akatenda, anaonyesha ambavyo matakwa yake yanaweza kupokelewa na baba na ama Makamba na kuwa ajenda inayotekelezeka. Hiki ndicho kinachomwokoa Seleli. Subirini mtaona mengi kwani hata Mungai amekuwa wa kwanza kupelekwa mahakamani kutokana fitina za salma kikwete wakati akiwa waziri wa elimu.
Huyu BASHE kasoma pale mzumbe university kwa mkopo wa serikali leo hii mnasema sio raia.
Lets try to be serious unaweza kuta zengwe la CCM tuu kutaka kumrudisha Seleliiii.Basi wamtose na Lowasa alieshinda kwa kura 40,000 ambazo nina wasi wasi wale wafugaji kufika idadi iyo wakati majimbo mengi figures zao kufika 40,0000 ni issue
eti nasikia Aden Rage nae wanataka kumuondoa kisa ni Msomali. hakika yanipasa kuwaacha wafu wazikane wenyewe kwa wenyewe.
nao watu wa huko tabora bwana nashukwa na butwaa na huwa siamini macho yangu kabisa ni kwa nini wanawapenda sana hawa waarabu...............waliisha sahau kuwa wao ndio walikuwa watumwa na hao mabwana akina ROSTAM,BASHE na wengine ni mazao yao na kwa kwewli kiasili sio raia...........wapeni wazawa watoto wenu waende bungeni wakawatetee......kwani nyie watu wa tabora na kwingineko hamuoni aibu kodi mnazolipa waende kuzila watu wa mataifa mengine???????wao wamekuja kufanya biashara for good haina tatizo waache sasa wakipata faida msikubali kurubuniwa na kununuliwa mkawapa kura........sisi hatuwataki kwenye serikali zetu wapeni nafasi watoto wenu wazawa wawawakilisheni na hao ndio wanaojua matatizo yenu......akina bashe waache waendelee kufanya biashara.............siamini
Mi siwashangai watu wa Tabora, kuna baadhi ya sehemu (mikoa) ukiwa na asili ya nje unaonekana masiha though nao ni Watanzania ila tujiulize wana nia ya dhati ya kuwawakilisha hao wana-majimbo au ni maslahi binafsiWacha waondolewe Wasomali hawa wamezidi sana. Wazalendo wa Mkoa wa Tabora, hebu jitutumueni kidogo na nyie -- pesa za mafisadi zitawafanya mrudi utumwani na kumfanya Mtemi Mirambo atikisike kaburini! Yaani katika wagombea saba mkoani humo watatu ni wa aina ya akina Bashe -- Wasomali na Waburushi tu. Hii nadhani haikubaliki! Waache walie ubaguzi, ubaguzi -- but this is too much.