GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nafikiri tatizo lipo kwa muongozaji wa kikao, sio kuwa Makalla ana hayo majina anachelewa kusoma, ni kuwa hajapewa, bado wanajadiliana huko ndani
 
Gentleman,
kujiajiri kuna baki kua ni jambo muhimu sana la lazima, katika kujikomboa kiuchumi na kuondokana na unyonge wa kipato.

kilimo, biashara na ufugaji vinabaki kua ni fursa za ajira za uhakika za kutosha waTanzania wote πŸ’
GNTLMAN vipi penyenye zinaoneshaje kuhusu jina lako kuw top3 jimboni kwako?
 
Bundi katua mjegoni tangu jana futa andika futa andika
 
Hao ndiyo wanaunda na wanatarajia kuunda serikali ijayo.

TIME MANAGEMENT ni ZERO.

SERIOUSNESS ZERO.

Ndiyo maana CAG anaweka wazi MAJIZI na hakuna hatua yeyote inayochukuliwa bora Tuende na Doyo NLD ambaye atachukua hatua Kali kwa MAJIZI yanayotajwa kwenye Report ya CAG kwa kuyafunga na kuyachapa VIBOKO 24 uwanja wa TAIFA huku TV zote zikionyesha Live.
 
Kuunda serikali sio mchezo
Wabunge ndio huwekwa kuunda serikali
Process kupata wabunge lazima iwe serious
Vuta subira

Ya nini kusumbua waandishi wa habari? Kwanini wasingemaliza michakato yao ya ndani yote then ndiyo wawaite waandishi? Jana walisema jioni saa tisa ,hollllaaaaa ,ikaja saa tatu na nusu usiku hollllaaaaaa ,wakasema saa nne asubuhi hollllaaaaaa ,ndiyo userious huo?
 
Wasipopitisha jina langu nitalia sana
 
GNTLMAN vipi penyenye zinaoneshaje kuhusu jina lako kuw top3 jimboni kwako?
Gentleman,
ni nadra sana kwa viongozi makini wachapa kazi kama mimi kukosekana kwenye 3, hata hivyo sio muhimu sana kulingana na wajibu mzito wa wananchi ninaoushikilia kwa sasa, ingawa nipo shamba kidogo onetime kwasasa πŸ’
 

Attachments

  • IMG_20250710_115004_0.jpg
    1.1 MB · Views: 27
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…