GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Majina ya jana uliyaona?
Unaweza kutusaidia ni kwanini mechi imehairishwa mara tatu pengine maana ishu ni majina tu na tuliambiwa majina yalikuwa tayari. Ni nini sasa kimechelewesha na kila kitu lipo tayari camera, ukumbi, msemaji n.k ni nini kimeleta uzito wa kuharisha kiasi hiki?
 
Unaweza kutusaidia ni kwanini mechi imehairishwa mara tatu pengine maana ishu ni majina tu na tuliambiwa majina yalikuwa tayari. Ni nini sasa kimechelewesha na kila kitu lipo tayari camera, ukumbi, msemaji n.k ni nini kimeleta uzito wa kuharisha kiasi hiki?
Kwa hiyo kama hujui basi yalibadilishwa?
 
Wakuu!

Baada ya ahirisha ahirisha sasa ndio muda wenyewe wa kujua mbivu na mbichi huko CCM

Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa mchana huu baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kulichomalizika usiku wa kuamkia Julai 29, 2025.

Majina hayo yatatangazwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari utakaofanyika kuanzia saa sita mchana.


Awali, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makala, aliitisha kikao na waandishi wa habari kilichotarajiwa kufanyika saa 11:00 jioni ya Julai 28, 2025. Hata hivyo, kikao hicho hakikufanyika kutokana na mchakato wa kuchuja wagombea kutokamilika kwa wakati.

Waandishi wa habari walilazimika kusubiri kwa muda mrefu, kuanzia saa 11:00 jioni hadi majira ya saa 10:00 alfajiri ya leo, walipofahamishwa na Afisa Habari wa CCM, Aboubakar Liongo, kwamba mchakato bado unaendelea na kwamba kikao hicho sasa kitaanza rasmi saa 6:00 Mchana leo, Julai 29, 2025.

Soma zaidi
Taarifa hiyo inasubiriwa kwa hamu kubwa, kwani itabainisha majina ya wagombea waliopenya katika hatua za awali za uteuzi kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho tawala.

Updates

CCM wameongeza tena muda, CPA Makalla atafika ukumbini dakika 35 zijazo (1:25 Mchana)

View attachment 3423136



CPA Amos Makalla amefika na kuanza kuomba radhi kusubiri muda mrefu kwanza kile kilichotokea jana kuarishwa kwa mkutano huu wakuwatangaza wagombea, walikua wengi. Amewapongeza wanachama wote waliojitokeza kuwania nafasi hizo.

" Niwaombe radhi kwa kusubiri kwa muda mrefu tumekuwa na vikao wa manane lakini kikubwa tulikua na wagombea wengi, kwaiyo kazi baada ya kikao imeenda vizuri. Tunawapongeza wana CCM kote nchini kwa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalaimbali kugombea nafasi zilizokua zimetangazwa katika majimbo, Ubunge na viti Maalum.

WABUNGE WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM

ARUSHA
Jimbo la Arusha Mjini
  1. Ndg Ali Said Babu
  2. Hussein Gonga
  3. Aminata Taule
  4. Mustapha Said Nassoro
  5. Paul Christian Makonda
  6. Lwembo Nkwavi Mgweno
  7. Jasper Agustino Kishimbua
Jimbo la Arumeru Magharibi
  1. Dkt. Johannes Lukumay
  2. Ndg. Noah Lembrice Molel
  3. Noel Emmauel
  4. Ester Zakayo Molel
  5. Herrietta Erasto Temu
  6. Luteni Kanali Meidin
Jimbo la Karatu
  1. Sesilia Daniel Pareso
  2. Daniel Telemay
  3. Pantaleo Victory Pareso
  4. Patrice Chele Matei
  5. Shadrack Kana
Jimbo la Longido
  1. Steven Lemomo Kiluswa
  2. Petro Ngarikoni
  3. Nicholaus Senteu
  4. Martha Ntoipo
Jimbo la Arumeru Mashariki
  1. Joshua Samweli Nasari
  2. John Daniel Palanjo
  3. Johnson Salakikya
  4. Elisa Mbise
  5. Prof. Daniel Palanjo
  6. Rose Urio
  7. William Salakikya
  8. Anjela Leonard Palanjo
Jimbo la Monduli

  1. Fedrick Edward Lowasa
  2. Wilson Lengima Kulambe
  3. Isack Joseph Kapriano
  4. Sakaya Kabuti Alasheri
  5. Nuru Adam
  6. Bilihuda Hussein Kisaka

Kwa hiyo wamemtoa Gambo Ili konda apite kiulaini au?

Wajumbe wa Arusha kama mna akili pigeni chini huyo project wa kulinda ufisadi.
 
Back
Top Bottom