Gwajima akiendeleza anayoyaamini.
View attachment 1585654
Wewe siyo sahihi? Kujikomba koote hawajakuona mzee?Binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.
P
Yaani anayofanya Gwajima ni udhaifu wa kibinadamu. Ulitakiwa kusema ther other way around. Kwamba anatumia udhaifu wa Binadamu. Anyway, naona Paskali tayari ushakuwa Mwanakondoo mpya.Binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.
P
Comment yake ni jaribio la kutaka wamuone kwa jicho lingine la japo ukuu wa wilaya au DED. Ila ukikosa teuzi ya jiwe hata kwa kusifia ujue una gundu la haja. Mkuu Pascal Mayalla just stick to what you do best - journalism; any involvement of politics by you should be through reporting.Wewe siyo sahihi? Kujikomba koote hawajakuona mzee????
Gwaji hakukosea mkuu, Gwaji hiyo ni tabia yake. Sidhanii kama mtoto wako anakuja nyumbani kila siku keshapiga K Vant 2 usiku utasema kakosea!Binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.
P
Na wewe Kumbe ni wale wale?Binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.
P