Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

Watu wote kwenye CC ya chama hawakuona kosa kumpata nafasi, unadhani hawakupima, hawa kusikiliza hizo propaganda kabla ya kuamua?.Tulia dawa iingie vizuri, Bishop. Gwajima ndio dawa ya Halima Mdee,naye atashinda kwa kishindo.
UJINGA MTUPU! ETI DAWA YA HALIMA MDEE! YAANI GWAJIMA TAPELI, NDIYE AWE DAWA YA HALIMA MDEE? KWANI LENGO LA CCM NI KUTAFUTA DAWA YA HALIMA MDEE?
 
Binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.

P
Huku site hali siyo shwari kabisa.
FB_IMG_1601425432271.jpg
FB_IMG_1601448321430.jpg
 
Maneno haya huwa nayatafakari na yananigusa sana. Ni baadhi ya maneno yanayosomwa na askofu (Catholic Bishop) wakati wa ordination ya deacon (shemasi). Kwa lugha ya Kiingereza yanasomeka hivi: "Receive the Gospel of Christ, whose herald you have become. Believe what you read, teach what you believe, and practice what you teach."
 
Gwajima akiendeleza anayoyaamini.

 
Mungu amewafumba mambo mengi ili mapenzi yake yatimie! Spiritual Powers huwa si za mchezo ndugu zangu. Wote tunashangaa huyu mtu aipenyaje penyaje kwenye vetting ya chama.
 
Mkuu kitali , vipi siku hizi jf, kuna ma monitors wanaoshauri watu wachangie au wakae kimya?.
Kama Gwajima ndio chaguo la Mungu kwa Kawe, akiibuka mtu kusema ni wrong choice, kwanini tukae kimya?.
P
Kiukweli mi binfs nilipanga mwaka huu kwa hapa kwetu kawe nitaipigia ccm kuanzia juu mpaka chini. Walipomleta huyu tapeli cna ham hata ya kumsikiliza. Ccm kawe ilikuwa na watu wengi sana wazur. Lakin wametuletea huyu tapeli cjui tumewakosea nini
 
Tatizo la watanzania hawapendi kukubali kutokukubaliana, huwezi ukayanajisi maamuzi ya vikao vya kamati kuu ya halmashauri kuu.
 
Kamati ndo imeshampitisha sasa hata mseme nin hamuwezi kumtoa gwajima na kushinda kwake n lazima awe ubunge maneno yenu n kelele tu za chura hazimzuii tembo kunywa maji
 
Gwajima ni Tapeli lililokubuhu. Matapeli Hayaoni aibu. Yako tayari kufanya lolote for their own personal gain. Ushaona wapi mtu kajiua mwenyewe na kujifufua halafu anajitolea ushuhuda mwenyewe. Huyo ndiye Gwajima...
Usisahau scandal ya kuhamasisha ukabila, usukuma,

Hili jimbo CCM kama vile hawalitaki.
Na agent wake jamvini humu makes matters worse.

Everyday is Saturday................................ 😎
 
Wewe unasema jambo ambalo wewe mwenyewe hauna uhakika nalo laiti ungejua ni mtu wa namna gani usingekaa na kuanza kundika haya

Rwakatare aliingia kwenye siasa lakini watu hamkusema lolote lakini kuingia kwa gwajima iimekua gumzo kwenu na waliomchagua ni kwamba wameona ni mtu anayefaa kabisaa wewe ndo unakosea kusema wao wamekosea

kaa chini utafakari kabla ya kuanza kubwabwaja maneno huku hatutaki unoko wako
na kama umeishiwa maneno jitundike ukipata maneno jibandue nzzzzzzzzzz
 
Inaonekana kabisa wewe ndo unaamka leo.

Yaaan hoja kama hizi za kitoto hata Halima mwenyewe kashaacha kuzitumia kwa sababu haziwatishi wala kuwashtua wana Kawe.

Tafuta upupu mwingine wa kuja nao hapa.
 
Hapo Paskali unakubali kwamba Gwaji alikosea. Na alikosea zaidi alipoapa mbele za Bwana na madhabahu yake kwamba yeye hawezi kugombea Ubunge au Uraisi na kwamba kazi hizo si size yake. Hawezi kugombea vyeo hivyo kwani kwa kufanya hivyo atakuwa amejishusha chini. Hakuishia hapo aliapa kwamba yeye atamtumikia Mungu aliye hai siku zote za maisha yake. Amekiuka kiapo chake mbele za Bwana na kibaya zaidi aliamua kumla kondoo moja na kuwaacha wengine wengi wakihangaika kutafuta malisho baada ya yeye Mchungaji, kuingia mitini na kwenda kugombea Ubunge. Mtu asiyekuwa na msimamo thabiti, asiyeishi yale anayoyaamini, hatufai.
 
Heshima sana wanajamvi.

Tukubali tukatae CCM ni chama kikubwa,kikongwe,kina uzoefu katika medani ya siasa za Tanzania na wakati wa Mwl Nyerere kilikuwa na mitazamo iliyovuka mipaka ya Tanzania (Ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika) na pia masuala ya utangamano wa kikanda na hatimaye Afrika nzima.

Kutokana na ukongwe na ukubwa wake unabaki kushangaa ilikuwaje Askofu Gwajima jina lake likapitishwa na vikao vizito vya chama !.Kamati kuu ilishindwa kupata ushahidi wa video za Askofu Gwajima akikashifu dini ya KiIslam,Catholic,Lutheran.......Eti kwake yeye dini ya maana ni Assemblies of God.

Ipo Video najaribu kuiweka hapa kwa kweli inashangaza kama si kusikitisha.Askofu Gwajima badala ya kuhubiri/mafundisho ya imani yake kajikita zaidi katika kukashfu imani nyingine tena kwa maneno ambayo hata mimi naogopa kuandika hayafai yamekosa ustaarabu wa kiwango cha kutisha.Ni ajabu sana Askofu Gwajima bado anaoujasiri wa kupita mitaani bila aibu wala uoga wa kuomba kura jimbo la Kawe.

CCM imefanya makosa makubwa,tukubali na kujisahihisha mapema.
Kwa kusema tu kwamba CCM ni chama kizoefu na kikongwe unatakiwa kuelewa kwa uzoefu wake kilijua kinahitaji kiongozi jasiri kama Gwajima kwa ajili ya maendeleo ya Kawe.

Video za Gwajima za kanisani hazina uhusiano na siasa. Utashangawa sana ikiwa utashikilia udini na kudharau maendeleo ya nchi yako mwenyewe. Inaonesha ni jinsi gani ulivyo mbinafsi na kushindwa kusimamia ustawi wa nchi yako.

Gwajima hana uwoga wowote na ana ujasiri mwingi wa kutembea kwa wananchi wenzake wanaotaka maendeleo kama yeye anavyotaka. Gwajima angekuwa mdini angeamua kutembelea makanisa tu na kuacha makazi na misikiti. Kwa kampeni na ziara za mtu na mtu na mtaa kwa mtaa, inaonesha upendo alionao Gwajima kwa watu wote bila kubagua dini wala kabila.
 
Watu wote kwenye CC ya chama hawakuona kosa kumpata nafasi, unadhani hawakupima, hawa kusikiliza hizo propaganda kabla ya kuamua?.Tulia dawa iingie vizuri, Bishop. Gwajima ndio dawa ya Halima Mdee,naye atashinda kwa kishindo.
Ni kweli tutapata fursa ya kula wake za watu makanisani hapo Kawe
 
UJINGA MTUPU! ETI DAWA YA HALIMA MDEE! YAANI GWAJIMA TAPELI, NDIYE AWE DAWA YA HALIMA MDEE? KWANI LENGO LA CCM NI KUTAFUTA DAWA YA HALIMA MDEE? PUMBAV.
Nawapongeza Sana CCM na kamati Kuu kusema kweli wanaakili na wanaona mbali sana nyie wapuuzi mnaoagalia tu hapa mbele hamuwezi elewa lakin wanakamati wakuu wanajua nin wanafanya ndo maana walimchagua Gwajima hvyo kama kunamtu anateseka aendelee tu kuteseka tena akateseka vbaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana Gwajima ndo mbunge wetu wa kawe
 
Back
Top Bottom