KAWE HAKUNA MISUKULE, NYIE MISUKULE MTASUBIRI SANA ENDELEENI KUDANGANYWA HUKO KWENYE KIOTA CHAKE..MISUKULE WAKUBWA NYIE!Kawahiyo wananchi wa kawe n misukule sio hahaha sawa atawatumikia ipasavyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAWE HAKUNA MISUKULE, NYIE MISUKULE MTASUBIRI SANA ENDELEENI KUDANGANYWA HUKO KWENYE KIOTA CHAKE..MISUKULE WAKUBWA NYIE!Kawahiyo wananchi wa kawe n misukule sio hahaha sawa atawatumikia ipasavyo
Gwajima n bora kuliko huyo Gwajima tutamchagua haijalishi niniUMEANDIKA UJINGA TUPU! HAISHANGAZI UNAMWONA GWAJIMA ANASTAHILI..MISUKULE BWANA!
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.Nyie chongeni sana ila halima mdee bye bye kawe View attachment 1586803View attachment 1586804View attachment 1586806
Ila huyu mjinga anagonga watoto wakali vile tu hawajitumi kitandani inabidi kazi yote amalize yeye mwenyeweGWAJI ALIWE KICHWA ARUDI AKAJENGE KANISA AHAME MLE KWENYE FULL SUTI, KANISA KAMA MUUNGANIKO WA NYUMBA ZA ASKARI MABACHELA
Loh! Bado mnamsafisha tu? Huyu alitukana sana hapo zamani. Hatuna sababu za kuamini kwamba hatatukana tena. Sasa hivi anajivika ngozi ya mwanakondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu. Akipata nafasi tu anaivua hiyo ngozi na kubaki na ile ya kwake.Huu ni uongo, tumia correct tenses, Gwajima alitukana enzi zile za zamani na yalipita, yalikwisha. Kusema anatukana ni uongo wa mchana kweupe.
P
Binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.
P
Muhimu ni kuwaomba radhi wa-TZ kwa kusema uongo kwamba ile clip ya ngono haikuwa yake wakati ni yeye.Wale Wote Aliowatukana Atuombe kwanza Radhi Kabla Ya Kutuomba Kura. Huwezi tukana Makanisa Yote na Misikiti Na wote waendao Humo alafu ghafla Uje Kuwaomba Kura Bila Kuomba Radhi.
Alafu Huyu si Ndio Alikuwa Anatengeneza Makundi Ya Interahamwe ya Wasukuma Huyu? Na wewe Ulikuwa recruited?
Kwani ni Vibaya kuamini kile unachokiamini wewe ni sahihi na kuona wengine wanapotea!?Heshima sana wanajamvi.
Tukubali tukatae CCM ni chama kikubwa, kikongwe, kina uzoefu katika medani ya siasa za Tanzania na wakati wa Mwl Nyerere kilikuwa na mitazamo iliyovuka mipaka ya Tanzania (Ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika) na pia masuala ya utangamano wa kikanda na hatimaye Afrika nzima.
Kutokana na ukongwe na ukubwa wake unabaki kushangaa ilikuwaje Askofu Gwajima jina lake likapitishwa na vikao vizito vya chama. Kamati kuu ilishindwa kupata ushahidi wa video za Askofu Gwajima akikashifu dini ya KiIslam, Catholic, Lutheran. Eti kwake yeye dini ya maana ni Assemblies of God.
Ipo Video najaribu kuiweka hapa kwa kweli inashangaza kama si kusikitisha.Askofu Gwajima badala ya kuhubiri/mafundisho ya imani yake kajikita zaidi katika kukashfu imani nyingine tena kwa maneno ambayo hata mimi naogopa kuandika hayafai yamekosa ustaarabu wa kiwango cha kutisha.Ni ajabu sana Askofu Gwajima bado anaoujasiri wa kupita mitaani bila aibu wala uoga wa kuomba kura jimbo la Kawe.
CCM imefanya makosa makubwa,tukubali na kujisahihisha mapema.
Kwani ni Vibaya kuamini kile unachokiamini wewe ni sahihi na kuona wengine wanapotea!?
Sent from my CPH1969 using JamiiForums mobile app
Sasa humu kuna post kibao zinashambulia Uislamu kuwa ni magaidi, tuna roho za kishetani, ni wafiraji na hata ishu za Sheikh Ponda zilileta mada sana humu na kuushambulia Uislam nk lkn mwisho wa siku tunaendelea kuamini kile tunachoona kwetu ni sahihiSi vibaya kila mtu ana haki ya kuamini anachokitaka,lakini katika kuamini huko lazima tuheshimu imani za wengine.Mimi ni Mkristo pamoja na imani yangu ya kikristo kamwe siwezi kudharau Uislam hata mara moja.
Kweli kabisa acha nao hao majini,wapinga kristu na manabii wa Uongo.Watu wote kwenye CC ya chama hawakuona kosa kumpata nafasi, unadhani hawakupima, hawa kusikiliza hizo propaganda kabla ya kuamua?.Tulia dawa iingie vizuri, Bishop. Gwajima ndio dawa ya Halima Mdee,naye atashinda kwa kishindo.
Sasa humu kuna post kibao zinashambulia Uislamu kuwa ni magaidi, tuna roho za kishetani, ni wafiraji na hata ishu za Sheikh Ponda zilileta mada sana humu na kuushambulia Uislam nk lkn mwisho wa siku tunaendelea kuamini kile tunachoona kwetu ni sahihi
Sent from my CPH1969 using JamiiForums mobile app