Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

Umesahau, ktk video ameahidi kuibadili misikiti yetu mitukufu kuwa sunsau school pia aliwai kutuhumiwa kumla frola mbasha leo mgombea ccm
Gwajima ni Tapeli lililokubuhu. Matapeli Hayaoni aibu. Yako tayari kufanya lolote for their own personal gain. Ushaona wapi mtu kajiua mwenyewe na kujifufua halafu anajitolea ushuhuda mwenyewe. Huyo ndiye Gwajima.

Twenty 15 alikuwa Mshenga wa Lowassa Leo mgombea wa CCM...!?

Twenty 16 alikuwa kwenye list ya wauza unga, Leo mgombea wa CCM.

Mwaka jana alikuwa na scandal ya kula mwakondoo, Leo mgombea wa CCM.

Hiki inaonyesha kuwa something somewhere is wrong na CCM.
 
Nimehudhuria kwenye kampeni katika kata moja ya jimbo la KAWE, aisee nilikua siamini kama wanaccm wenyewe wanaweza kutamka kwa maneno yao midomoni kua Ubunge wanampa mpinzani halafu Urais kwa Magufuli ingawaje nako Urais nasikia wanatamkia mdomoni lakini watampa Tundu Lissu.

Huyu ni mgombea wa pili kukaguliwa live na wananchi katika mkoa wa Dar es Salaam baada ya Bonah Kamoli wa jimbo la Segerea naye kukataliwa hadharani tena yeye akiwepo kwenye mkutano mpaka alifunika macho yake.

Ni kosa sasa kwa kamati kuu ya CCM kupitisha watu ambao hayakua machaguo ya wananchi, tatizo kubwa la Gwajima alikua mshindi wa 3 nyuma ya Angella na Furaha ambao nao walikua na wafuasi wao. Hili limeleta mgawanyiko mkubwa hata kwa CCM wenyewe, wajumbe wanadai hawako tayari kulazimishwa kuchagua mtu ambaye hakua chaguo lao.
Mwenyewe umejitutumua kuandika naona unajipa matumaini wewe na wenzako ngoja nikwambie halima atumtaki kawe wanakawe tumeamua kwenda na Gwajima na Gwajima atashinda kwa kishindo

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
kama wanawake mmeamua kwenda na gwajima basi we lazima uwe yule binti gwajima alikuwa anamkatikia mauno
 
Nimehudhuria kwenye kampeni katika kata moja ya jimbo la KAWE, aisee nilikua siamini kama wanaccm wenyewe wanaweza kutamka kwa maneno yao midomoni kua Ubunge wanampa mpinzani halafu Urais kwa Magufuli ingawaje nako Urais nasikia wanatamkia mdomoni lakini watampa Tundu Lissu.

Huyu ni mgombea wa pili kukaguliwa live na wananchi katika mkoa wa Dar es Salaam baada ya Bonah Kamoli wa jimbo la Segerea naye kukataliwa hadharani tena yeye akiwepo kwenye mkutano mpaka alifunika macho yake.

Ni kosa sasa kwa kamati kuu ya CCM kupitisha watu ambao hayakua machaguo ya wananchi, tatizo kubwa la Gwajima alikua mshindi wa 3 nyuma ya Angella na Furaha ambao nao walikua na wafuasi wao. Hili limeleta mgawanyiko mkubwa hata kwa CCM wenyewe, wajumbe wanadai hawako tayari kulazimishwa kuchagua mtu ambaye hakua chaguo lao.
Lakini wewe jamaa mwongo hakuna mfano
 
Mkuu kitali , vipi siku hizi jf, kuna ma monitors wanaoshauri watu wachangie au wakae kimya?.
Kama Gwajima ndio chaguo la Mungu kwa Kawe, akiibuka mtu kusema ni wrong choice, kwanini tukae kimya?.
P
Pascal ulisema 2020 upinzani umekufa JPM hana upinzani.

Umeona mpaka Mwenyekiti wako mpaka anapiga magoti jukwaani. Sisemi kwamba hata shinda ila chamoto anakiona hatosahau.
 
Naona utakuwa umetembelea kata ya Kawe ambayo haiko Dar es Salaam.

Aliyekataliwa waziwazi kwenye kata zote ni mgombea wa Chadema, Mdee.

Gwajima anakubalika kwenye kata zote, kwa rika zote.

Subiri Octoba 28 ndo utaona maamuzi ya watu wa jimbo la Kawe watakavyompa kura za kutosha Askofu Gwajima.
 
Wanaopiga kelele nyingi Gwajima atashinda ni Waumini wake, Wana CCM wengi wa Kawe hawamtaki.
Subiri uone atakavyoshinda kwa kishindo sijui utasema waumini wake ndio waliompigia kura peke yako maana Gwajima anakwenda kushinda kwa kishindo wanakawe tunamkubali Gwajima.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Naona utakuwa umetembelea kata ya Kawe ambayo haiko Dar es Salaam.

Aliyekataliwa waziwazi kwenye kata zote ni mgombea wa Chadema, Mdee.

Gwajima anakubalika kwenye kata zote, kwa rika zote.

Subiri Octoba 28 ndo utaona maamuzi ya watu wa jimbo la Kawe watakavyompa kura za kutosha Askofu Gwajima.
kawe asahau lazima mbaki naye kukata mauno kanisani
 
Nimehudhuria kwenye kampeni katika kata moja ya jimbo la KAWE, aisee nilikua siamini kama wanaccm wenyewe wanaweza kutamka kwa maneno yao midomoni kua Ubunge wanampa mpinzani halafu Urais kwa Magufuli ingawaje nako Urais nasikia wanatamkia mdomoni lakini watampa Tundu Lissu...
Wewe unajikuta unaongea kitu ambacho hukielewi tuulize sisi tutakuelezea yote kuhusu gwajima. Huyo tayari tushamchukua kawe kama unaona shida kwako hama kawe.

Na aloyemchagua akaacha wengine hajakosea kabisa nampa big up kabisaa
 
Sikapendi hako kajamaa na tuhuma zake za kupora wake za watu. Yaani nimetokea tu kutokumpenda.
Pambana na hali yako gwaj boy ndo mbunge wetu
Mchapakazi
 
Attachments

  • 9DB7A4AA-6E8C-41A9-B20A-2FB0F001F726.jpeg
    9DB7A4AA-6E8C-41A9-B20A-2FB0F001F726.jpeg
    241.4 KB · Views: 2
Watu wote kwenye CC ya chama hawakuona kosa kumpata nafasi, unadhani hawakupima, hawa kusikiliza hizo propaganda kabla ya kuamua?.Tulia dawa iingie vizuri, Bishop. Gwajima ndio dawa ya Halima Mdee,naye atashinda kwa kishindo.
Kamati haikuwa huru na maamuzi full stop!!!
 
Back
Top Bottom