UJINGA MTUPU! ETI DAWA YA HALIMA MDEE! YAANI GWAJIMA TAPELI, NDIYE AWE DAWA YA HALIMA MDEE? KWANI LENGO LA CCM NI KUTAFUTA DAWA YA HALIMA MDEE?Watu wote kwenye CC ya chama hawakuona kosa kumpata nafasi, unadhani hawakupima, hawa kusikiliza hizo propaganda kabla ya kuamua?.Tulia dawa iingie vizuri, Bishop. Gwajima ndio dawa ya Halima Mdee,naye atashinda kwa kishindo.
Shangaa mkuuUJINGA MTUPU! ETI DAWA YA HALIMA MDEE! YAANI GWAJIMA TAPELI, NDIYE AWE DAWA YA HALIMA MDEE? KWANI LENGO LA CCM NI KUTAFUTA DAWA YA HALIMA MDEE? PUMBAV.
Huku site hali siyo shwari kabisa.Binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.
P
Pascal kwan ukikaa kimya kuna shida mzee?Binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.
P
Mkuu kitali , vipi siku hizi jf, kuna ma monitors wanaoshauri watu wachangie au wakae kimya?.Pascal kwan ukikaa kimya kuna shida mzee?
Gwajima akiendeleza anayoyaamini.
View attachment 1585654
Kiukweli mi binfs nilipanga mwaka huu kwa hapa kwetu kawe nitaipigia ccm kuanzia juu mpaka chini. Walipomleta huyu tapeli cna ham hata ya kumsikiliza. Ccm kawe ilikuwa na watu wengi sana wazur. Lakin wametuletea huyu tapeli cjui tumewakosea niniMkuu kitali , vipi siku hizi jf, kuna ma monitors wanaoshauri watu wachangie au wakae kimya?.
Kama Gwajima ndio chaguo la Mungu kwa Kawe, akiibuka mtu kusema ni wrong choice, kwanini tukae kimya?.
P
Usisahau scandal ya kuhamasisha ukabila, usukuma,Gwajima ni Tapeli lililokubuhu. Matapeli Hayaoni aibu. Yako tayari kufanya lolote for their own personal gain. Ushaona wapi mtu kajiua mwenyewe na kujifufua halafu anajitolea ushuhuda mwenyewe. Huyo ndiye Gwajima...
Kwa kusema tu kwamba CCM ni chama kizoefu na kikongwe unatakiwa kuelewa kwa uzoefu wake kilijua kinahitaji kiongozi jasiri kama Gwajima kwa ajili ya maendeleo ya Kawe.Heshima sana wanajamvi.
Tukubali tukatae CCM ni chama kikubwa,kikongwe,kina uzoefu katika medani ya siasa za Tanzania na wakati wa Mwl Nyerere kilikuwa na mitazamo iliyovuka mipaka ya Tanzania (Ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika) na pia masuala ya utangamano wa kikanda na hatimaye Afrika nzima.
Kutokana na ukongwe na ukubwa wake unabaki kushangaa ilikuwaje Askofu Gwajima jina lake likapitishwa na vikao vizito vya chama !.Kamati kuu ilishindwa kupata ushahidi wa video za Askofu Gwajima akikashifu dini ya KiIslam,Catholic,Lutheran.......Eti kwake yeye dini ya maana ni Assemblies of God.
Ipo Video najaribu kuiweka hapa kwa kweli inashangaza kama si kusikitisha.Askofu Gwajima badala ya kuhubiri/mafundisho ya imani yake kajikita zaidi katika kukashfu imani nyingine tena kwa maneno ambayo hata mimi naogopa kuandika hayafai yamekosa ustaarabu wa kiwango cha kutisha.Ni ajabu sana Askofu Gwajima bado anaoujasiri wa kupita mitaani bila aibu wala uoga wa kuomba kura jimbo la Kawe.
CCM imefanya makosa makubwa,tukubali na kujisahihisha mapema.
Ni kweli tutapata fursa ya kula wake za watu makanisani hapo KaweWatu wote kwenye CC ya chama hawakuona kosa kumpata nafasi, unadhani hawakupima, hawa kusikiliza hizo propaganda kabla ya kuamua?.Tulia dawa iingie vizuri, Bishop. Gwajima ndio dawa ya Halima Mdee,naye atashinda kwa kishindo.
Nawapongeza Sana CCM na kamati Kuu kusema kweli wanaakili na wanaona mbali sana nyie wapuuzi mnaoagalia tu hapa mbele hamuwezi elewa lakin wanakamati wakuu wanajua nin wanafanya ndo maana walimchagua Gwajima hvyo kama kunamtu anateseka aendelee tu kuteseka tena akateseka vbaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana Gwajima ndo mbunge wetu wa kaweUJINGA MTUPU! ETI DAWA YA HALIMA MDEE! YAANI GWAJIMA TAPELI, NDIYE AWE DAWA YA HALIMA MDEE? KWANI LENGO LA CCM NI KUTAFUTA DAWA YA HALIMA MDEE? PUMBAV.