Kamati Kuu ya CCM fanyeni maamuzi magumu. Mpumzisheni Rais Samia, Serikali yake ni kigeugeu!

Kifupi hatuna rais tangu 2015, kuna wababaishaji na walevi wa madaraka
 
Kweli mkuu, zile mbwembwe za TRA kuvunja rekodi ya makusanyo hatuzisikii tena kitambo tu..
Kuna Kila dalili makusanyo ya ndani kuendesha Serikali ni kiduchu, TOZO ndo mbadala.

Sioni zikiondoka kama Madiluu Bado ni mshauri wa Rais ktk masuala ya fedha na Uchumi!!!
 
Kuna Kila dalili makusanyo ya ndani kuendesha Serikali ni kiduchu, TOZO ndo mbadala.

Sioni zikiondoka kama Madiluu Bado ni mshauri wa Rais ktk masuala ya fedha na Uchumi!!!
Nilimsikia Lissu akisema sehemu kubwa ya makusanyo inaenda kulipa mikopo ya IMF iliyochukuliwa kwa mbwembwe kupambana na UVIKO.
 
apumzishwe ili aingizwe mamako? Shameless poyoyo!
 
Lolote linawezekana!kama wenye viti wa ccm mkoa mzima wanaweza toa matamko ya kutokuwa na imani Nae halafu kinana aka type BARUA ya kujiuzulu uenyekiti wa Mama wa ccm!si TAYARI wanamalizia tu KAZI!!!?
Mfano ikawa what next, unaitishwa uchaguzi mpya au mnapendekeza
 
Nilimsikia Lissu akisema sehemu kubwa ya makusanyo inaenda kulipa mikopo ya IMF iliyochukuliwa kwa mbwembwe kupambana na UVIKO.
Mwl Nyerere once said:

Serikali ilowekwa mfukoni na walanguzi na Wala RUSHWA haikusanyi KODI Kwa matajiri, Bali huzunguka na kufukuzana na maskini wachuuzi Barabarani.
 
Watanganyika amna jema,Magufuli alipambana na hao magwiji wakwepa kodi mkasema eti anachuki na matajiri, Sasahivi Samia amewaachia matajiri wajinafasi,masikini nao wakione cha moto nalo limekuwa nongwa.Watanganyika hata waongezwe na malaika watalalamika tu.
 
Mbona unatoa siri hadharani ?
 
Nchi hii haina viongozi wenye maono/vision.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…