Kuongeza mapato ni maendeleokuongeza mapato ni kosa?
Kumbuka unaowashutumu wana haki ya kujisifia kama wewe ulivyo na haki ya kuwapinga kujisifu.
Nadhani ungewalaumu ambao waliweka wagombea ambao hawajui itikadi ya chama kilichowapa tiketi ya kugombea! Kumbuka ukipanda mahindi usitegemee utavuna mtama!
Don't blame the player, blame the political game!
There's no moral obligation in politics.
If you want moral obligation, try to visit a worship place or stick to churches!
Politics is all about fighting for power using any means available!
Yaani badala ya kuangalia mtu kajikwaa wapi unaangalia alipoangukia!
Huwa nashindwa kuelewa akili za watu wanaokubali kulishwa propaganda za ovyo.
Yaani mnafumbia macho mapungufu yote ya uongozi wa CHADEMA yanayopelekea viongozi kukimbilia CCM, Mnabaki kuamini kwamba viongozi hao sasa hivi wananunulika sana 😄