Kamati kuu ilikaa lini na wapi?Sasa wewe MATAGA utajuaje kama alichosema Lissu hakikuwa msimamo wa chama/Kamati Kuu?
Sasa mliweka mgombea Urais Zanzibar afanye nini?Umekuwa muuongo sana ndugu yangu. Unafaidika na nini kuwa muongo hapa jukwaani.
Msikilize Mwenyekiti Mbowe ndio utajua yale yalikuwa maamuzi ya chama.
Magufuli pamoja na ubabe wake lakini linapokuja suala la kuheshimu mambo yanayopaswa kuamuliwa na vikao hanaga ubishi.Haahaa chama gani ambacho waweza kuwahoji viongozi wao?
Hivi we mwehu huwa unawashwawashwa nini na Chadema , si muanze kueleza mmetekekeza kitu gani katika ilani yenu ya uchaguzi ? Unahangaika na Chadema hangaika na ilani yenu na ahadi mlizoahidi watanzania . Halafu na JF wanakuendekeza wewe na mataga wenzeko kwa mada zenu kutwa kucha zisizokuwa na kichwa wala miguu .Kamati kuu ya CHADEMA na Tundu Lissu akiwemo iliteua jina la mgombea Urais wa Zanzibar na baadae likapitishwa na kikao cha baraza kuu Tundu Lissu akiwemo pia.
Wakati wa kampeni Tundu Lissu akabadili gia angani na kulitangazia taifa kuwa yeye anamuunga mkono mgombea urais kupitia ACT Wazalendo na kuwataka wafuasi wake kumpigia kura Maalim Seif na Zitto Kabwe kwa nafasi ya ubunge Kigoma mjini.
Mbona kamati kuu ya CHADEMA haikumuhoji Tundu Lissu wala kumchukulia hatua yoyote kama ilivyofanya kwa wale wabunge 19?
Ama ni mfumo dume umetamalaki au kamati kuu haina meno.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa....maalimu Seif na Zitto Kabwe wako Ikulu wanakunywa juisi.Hivi we mwehu huwa unawashwawashwa nini na Chadema , si muanze kueleza mmetekekeza kitu gani katika ilani yenu ya uchaguzi ? Unahangaika na Chadema hangaika na ilani yenu na ahadi mlizoahidi watanzania . Halafu na JF wanakuendekeza wewe na mataga wenzeko kwa mada zenu kutwa kucha zisizokuwa na kichwa wala miguu .
Ni heri ya hawa, kuliko chama kile cha kuchapisha fomu moja tu ya nafasi ya UraisUongo
Mgombea uraisi wa Chadema ZANZIBAR alipitishwa na kamati kuu ya CHADEMA na mkutano mkuu wa CHADEMA
Lisu akajibwatukia tu kuwa anamuunga mkono maalim seif bila kikao cha kamati kuu wala mkutano mkuu wowote!
Chadema mnadai katiba mpya wakati hata hiyo ya kwenu yenyewe hamuwezi kuisimamia!!! mkamwacha solemba mgombea uraisi wenu wa Zanzibar hewani
Vivyo hivyo kwa ACT wazalendo walitangaza kuuunga mkono Tundu LISU na kumtelekeza mgombea wao Membe ambaye aliteuliwa na kamati kuu na mkutano mkuu.iLIPOFIKA KUMTELEKEZA HAKUNA KIKAO CHA KAMATI KUU WALA MKUTANO MKUU kilikaa !!!
Upinzani Tanzania ni hopeless kabisa.Hawajali katiba zao halafu utasikia ohhhh tunataka katiba mpya!!!
Laana ya yule mgombea uraisi wa CHADEMA Zanzibar na Ya MEMBE ndiyo ilimfanya Lisu ashindwe uraisi
Vikao halali ni kwa mujibu ni vile vilivyopo kwa mujibu wa katiba, na ni kiroja kwa watu wa Lumumba kuzungumzia katiba kwa sababu viongozi wao wanafikia hata kuinajisi katiba ya JMT, itakuja kuwa ya chama chao!Kikao cha kumshauri kilikaa wapi na lini? Hiyo ni taasisi inayopigania kushika madaraka ya nchi kwahivo kila uamuzi lazima wananchama wajulishwe tena kwa vikao halali. Siyo Lisu anaenda tu zanzibar na kusema tumeamua iwe hivi! Mmeamua wewe na nani, na wapi?
na ilikuwa ni lazima wawe namgombea wao zanzibar ili timu ikamilike, Baada ya kumuunga mkono yule, basi huyo waliyemuunga mkono ndye alikuwa anakamilisha timuHakujiamulia ulikua ni msimamo wa chama.
Comrade una swali lingine?