Uongo
Mgombea uraisi wa Chadema ZANZIBAR alipitishwa na kamati kuu ya CHADEMA na mkutano mkuu wa CHADEMA
Lisu akajibwatukia tu kuwa anamuunga mkono maalim seif bila kikao cha kamati kuu wala mkutano mkuu wowote!
Chadema mnadai katiba mpya wakati hata hiyo ya kwenu yenyewe hamuwezi kuisimamia!!! mkamwacha solemba mgombea uraisi wenu wa Zanzibar hewani
Vivyo hivyo kwa ACT wazalendo walitangaza kuuunga mkono Tundu LISU na kumtelekeza mgombea wao Membe ambaye aliteuliwa na kamati kuu na mkutano mkuu.iLIPOFIKA KUMTELEKEZA HAKUNA KIKAO CHA KAMATI KUU WALA MKUTANO MKUU kilikaa !!!
Upinzani Tanzania ni hopeless kabisa.Hawajali katiba zao halafu utasikia ohhhh tunataka katiba mpya!!!
Laana ya yule mgombea uraisi wa CHADEMA Zanzibar na Ya MEMBE ndiyo ilimfanya Lisu ashindwe uraisi