Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Dar es Salaam

Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Dar es Salaam

Hapo lazima mbowe apeleke mlima wa Deni analokidai chama na kuhitaji malipo yafanyike haraka [emoji1][emoji1][emoji1] wajinga ndio waliwao.
.
IMG_2941.jpg
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Kamati Kuu ya chadema, ambayo mara zote ndio inayotoa Dira ya Taifa na Mwongozo wake, inakutana tena Jijini Dar es Salaam.

Sasa kwa hali hii ya Mgao wa Umeme, bei na uhaba wa mafuta, Mkataba wa Bandari, Katiba mpya, Tume huru ya Uchaguzi, Maridhiano na mengine mengi, uwe tayari kupokea maelekezo yatakayoongoza nchi kwa kipindi kilichosalia.

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2756337
Tutasikiliza wenye Nchi by Proxy wanasemaje.
 
"Pamoja na agenda zingine, Kikao kitajadili hali ya siasa & uchumi pamoja na tathmini ya operesheni +255 KATIBA MPYA, OKOA BANDARI ZETU.."

Bila shaka agenda ya uchaguzi wa 2024 na 2025 iko confined ndani ya agenda ya hali ya kisiasa & Uchumi nchini.

That's to say, hajaachwa mtu na ndege uwanjani...!!
Nitasema hapa kuwa nimekuelewa, na kukubaliana nawe; lakini angalizo lipo palepale, kama lilivyowasilishwa. Agenda hiyo 2024/2025 ni pana sana ndiyo maana ni vigumu kuyakataa maneno hayo yaliyowekwa kuwasilisha agenda hiyo pana.

Hatari iliyopo katika kushughulikia agenda pana kama hiyo ni kujikuta kikao kinagusa gusa tu ka juu juu maswala yanayohitajika kupewa 'focus' zaidi.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Kamati Kuu ya chadema, ambayo mara zote ndio inayotoa Dira ya Taifa na Mwongozo wake, inakutana tena Jijini Dar es Salaam.

Sasa kwa hali hii ya Mgao wa Umeme, bei na uhaba wa mafuta, Mkataba wa Bandari, Katiba mpya, Tume huru ya Uchaguzi, Maridhiano na mengine mengi, uwe tayari kupokea maelekezo yatakayoongoza nchi kwa kipindi kilichosalia.

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2756337
kwani Makamu amesharudi?

wanunue vinywaji aina zote maana wengine hatutumii maji wala soda
 
Hapo lazima mbowe apeleke mlima wa Deni analokidai chama na kuhitaji malipo yafanyike haraka 😄😄😄 wajinga ndio waliwao.
Sasa wakisima wajinga wawil kati yule wa ccm na wa upinzani yani chadema mjinga zaidi carne ya 21 chama kinaibaje sanduku la kura????
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Kamati Kuu ya chadema, ambayo mara zote ndio inayotoa Dira ya Taifa na Mwongozo wake, inakutana tena Jijini Dar es Salaam.

Sasa kwa hali hii ya Mgao wa Umeme, bei na uhaba wa mafuta, Mkataba wa Bandari, Katiba mpya, Tume huru ya Uchaguzi, Maridhiano na mengine mengi, uwe tayari kupokea maelekezo yatakayoongoza nchi kwa kipindi kilichosalia.

Taarifa yao hii hapa

View attachment 2756337
Wajadili na kutimukia ughaibuni kwa makamo wa kwenyekiti

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Chadema iitishe maandamano kudai katiba mpya iundwe sasa na siyo baada ya miaka 3. Huku timu Mwabukusi (dr. Slaa, Mdude, Madeleka) kule timu Mbowe (chadema)
Maandamano sahau utaandamana na familia yako na nina wasiwasi hata kama familia yako watakuunga mkono kushiriki maandamano.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Makamo kwani aliwaaga au alisepa tu.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
kabla hajaondoka kanda ya ziwa pamoja, tukielekea ngorongoro kule ambapo hamna watu, alitwambia hivi, "sasa nyinyi sikilizeni nendeni mkaendelee na shughuli zenu, hawa mapolisi niachieni mwenyewe, nitapambana nao vilivyo bila msaada wala ushauri wenu"
akaenda akakamatwa baada ya siku kadhaa akatuma email eti amesafiri kidogo ndo mpaka wa leo.
 
Back
Top Bottom