Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Dar es Salaam

Tutasikiliza wenye Nchi by Proxy wanasemaje.
 
Nitasema hapa kuwa nimekuelewa, na kukubaliana nawe; lakini angalizo lipo palepale, kama lilivyowasilishwa. Agenda hiyo 2024/2025 ni pana sana ndiyo maana ni vigumu kuyakataa maneno hayo yaliyowekwa kuwasilisha agenda hiyo pana.

Hatari iliyopo katika kushughulikia agenda pana kama hiyo ni kujikuta kikao kinagusa gusa tu ka juu juu maswala yanayohitajika kupewa 'focus' zaidi.
 
kwani Makamu amesharudi?

wanunue vinywaji aina zote maana wengine hatutumii maji wala soda
 
Hapo lazima mbowe apeleke mlima wa Deni analokidai chama na kuhitaji malipo yafanyike haraka 😄😄😄 wajinga ndio waliwao.
Sasa wakisima wajinga wawil kati yule wa ccm na wa upinzani yani chadema mjinga zaidi carne ya 21 chama kinaibaje sanduku la kura????
 
Wajadili na kutimukia ughaibuni kwa makamo wa kwenyekiti

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Chadema iitishe maandamano kudai katiba mpya iundwe sasa na siyo baada ya miaka 3. Huku timu Mwabukusi (dr. Slaa, Mdude, Madeleka) kule timu Mbowe (chadema)
Maandamano sahau utaandamana na familia yako na nina wasiwasi hata kama familia yako watakuunga mkono kushiriki maandamano.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Makamo kwani aliwaaga au alisepa tu.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
kabla hajaondoka kanda ya ziwa pamoja, tukielekea ngorongoro kule ambapo hamna watu, alitwambia hivi, "sasa nyinyi sikilizeni nendeni mkaendelee na shughuli zenu, hawa mapolisi niachieni mwenyewe, nitapambana nao vilivyo bila msaada wala ushauri wenu"
akaenda akakamatwa baada ya siku kadhaa akatuma email eti amesafiri kidogo ndo mpaka wa leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…