Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Dar es Salaam

Hatutatoa siri za vikao
najua hutoagi siri, unatoaga taarrifa kamili tena in details, na hapo ndipo nakupendeaga kiongozi.
Huwa si mchoyo, huringi wala hujivungagi kushare mambo muhimu with JF family.
I really appreciate that.
 
Haina meno. Wameshindwa kujua maana ya consistency and transparency. Chana kinaingia makubaliano ya Siri, hakisemi. Wakikosana ndani ndio wanakuja nje. Kina operate kama CULT
 
Haina meno. Wameshindwa kujua maana ya consistency and transparency. Chana kinaingia makubaliano ya Siri, hakisemi. Wakikosana ndani ndio wanakuja nje. Kina operate kama CULT
Hujui kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…