Kamati Kuu ya CHADEMA watoto wao ni raia wa nchi zingine

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
3,891
Reaction score
8,448
Kitendo cha chama cha CHADEMA kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini.

Watoto wa Mbowe, Lissu, Lema etc ni raia wa Marekani na Canada na wanasomeshwa kwa kodi za mataifa hayo, hali hiyo imewafanya viongozi wa chama wajione kama hapa Tanzania ni wapitaji tu na muda wowote wanaweza kusaliti nchi na kukimbia hivyo hawaoni haja ya kujenga makao makuu ya kudumu.
 
Kitendo cha chama cha Chadema kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini.

Hawa watu ni feki tupu tena ni wajinga maana hawajui ni wajinga. Kwa ujinga wao wanafikiri hizo harakati zao kwa kulipwa ujira nje ndio uzalendo.

Hebu fikiri, mtu kama mbowe na lisu wanasema wazi kwa kuona fahari watoto wao ni raia wa marekani. Lema naye kwa fahari anatuambia wanawe ni wamarekani. Hivi viongozi kama hao kitu gani kiwafanye kujali mstakabali wa nchi ya tanzania?

Lissu baada ya kushtuka kwamba sio sahihi kuringia mwanae kua ni raia wa marekani akajidai eti ni uamuz wa wanawe wenyewe. Kwanza mtoto mdogo anaongozwa maamuzi na mzazi. Na mtoto wa kiongozi anayejidai ni mkubwa kwa malezi ya wazazi hawezi kuamua kua raia wa nchi nyingine.
Kwa ufupi iogopeni chadema wandugu hao ni mamluki.
 
Hawa watu ni feki tupu tena ni wajinga maana hawajui ni wajinga. Kwa ujinga wao wanafikiri hizo harakati zao kwa kulipwa ujira nje ndio uzalendo.
Hebu fikiri, mtu kama mbowe na lisu wanasema wazi kwa kuona fahari watoto wao ni raia wa marekani. Lema naye kwa fahari anatuambia wanawe ni wamarekani. Hivi viongozi kama hao kitu gani kiwafanye kujali mstakabali wa nchi ya tanzania? Lissu baada ya kushtuka kwamba sio sahihi kuringia mwanae kua ni raia wa marekani akajidai eti ni uamuz wa wanawe wenyewe. Kwanza mtoto mdogo anaongozwa maamuzi na mzazi. Na mtoto wa kiongozi anayejidai ni mkubwa kwa malezi ya wazazi hawezi kuamua kua raia wa nchi nyingine.
Kwa ufupi iogopeni chadema wandugu hao ni mamluki.
Watanzania wanatakiwa kuwapuuza hawa vilaza kwa nguvu zote
 
Wametajwa
Kitendo cha chama cha Chadema kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini.

Watoto wa Mbowe, Lissu, Lema etc ni raia wa Marekani na Canada na wanasomeshwa kwa kodi za mataifa hayo, hali hiyo imewafanya viongozi wa chama wajione kama hapa Tanzania ni wapitaji tu na muda wowote wanaweza kusaliti nchi na kukimbia hivyo hawaoni haja ya kujenga makao makuu ya kudumu.
Ukurasa wa ngapi kwenye ile report ya CAG?
 
Kati ya kuwa mpinzani na watoto sio "RAIA WA TANZANIA" au kuwa mtanzania na watoto wa tanzania, tena waziri na kufanya "UFISADI WA TRILLIONI 1.5" mpaka rais anakasirika na kutukana kukuita mpumbavu (Stupid)!.

Jambo lipi baya zaidi?
Usaliti ni jambo baya zaidi.

Kutorosha wake na watoto kwa Rushwa ya Ushoga ni hatari mno
 
Lini wanajenga ofisi?
Kawaulize kwanza pale lumumba lini wanaacha wizi?
Mashoga ni hao wanaosomeshewa watoto wao na wazungu hapo ufipa
Akili yako ndogo sana wewe so kila anayesoma ulaya analipiwa na wazungu? Na wazungu wote ni mashoga? Kwa hiyo na waanzania wote ukiwemo wewe ni mashoga maana tunapokea pesa za misaada ya bajeti toka kwa mashoga?
Ushamba mzigo mkubwa sana
 
Kitendo cha chama cha Chadema kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini.

Watoto wa Mbowe, Lissu, Lema etc ni raia wa Marekani na Canada na wanasomeshwa kwa kodi za mataifa hayo, hali hiyo imewafanya viongozi wa chama wajione kama hapa Tanzania ni wapitaji tu na muda wowote wanaweza kusaliti nchi na kukimbia hivyo hawaoni haja ya kujenga makao makuu ya kudumu.
Mawazo ya kimaskini sana, tukianza kukaguana tutajikuta wanaosoma Kayumba ni watoto wa wakulima ambao ki-uhalisia hawana future yoyote na Taifa letu.

Kama kuna mbunge yoyote CCM anamsomesha mwanae kayumba asimame tumuhesabu.
 
Back
Top Bottom