Kamati Kuu ya CHADEMA watoto wao ni raia wa nchi zingine

Hawa watu ni feki tupu tena ni wajinga maana hawajui ni wajinga. Kwa ujinga wao wanafikiri hizo harakati zao kwa kulipwa ujira nje ndio uzalendo.
Hebu fikiri, mtu kama mbowe na lisu wanasema wazi kwa kuona fahari watoto wao ni raia wa marekani. Lema naye kwa fahari anatuambia wanawe ni wamarekani. Hivi viongozi kama hao kitu gani kiwafanye kujali mstakabali wa nchi ya tanzania? Lissu baada ya kushtuka kwamba sio sahihi kuringia mwanae kua ni raia wa marekani akajidai eti ni uamuz wa wanawe wenyewe. Kwanza mtoto mdogo anaongozwa maamuzi na mzazi. Na mtoto wa kiongozi anayejidai ni mkubwa kwa malezi ya wazazi hawezi kuamua kua raia wa nchi nyingine.
Kwa ufupi iogopeni chadema wandugu hao ni mamluki.
Embu acha uongo wa kipumbavu halafu dunia nzima mtu anakubaliwa kubadilika uraia akiwa na miaka 18 hao akina lema na Lisu watoto wao hawana uwezo wa kubadilika uraia wao. Kwani hawana miaka 18
Embu wadanganye wajingawajinga mwenzako wasiojielewa.
 
Kitendo cha chama cha CHADEMA kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini.

Watoto wa Mbowe, Lissu, Lema etc ni raia wa Marekani na Canada na wanasomeshwa kwa kodi za mataifa hayo, hali hiyo imewafanya viongozi wa chama wajione kama hapa Tanzania ni wapitaji tu na muda wowote wanaweza kusaliti nchi na kukimbia hivyo hawaoni haja ya kujenga makao makuu ya kudumu.
TATIZO NINI? WEWE UMEKATALIWA? PELEKA NA KWAKO
 
wanawapa uraia watoto wa nje ili wakiitisha maandamano ya vurugu watoto wao wawe salama nje watoto wa maskini ndio wakione cha mtema kuni
 
Kitendo cha chama cha CHADEMA kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini.

Watoto wa Mbowe, Lissu, Lema etc ni raia wa Marekani na Canada na wanasomeshwa kwa kodi za mataifa hayo, hali hiyo imewafanya viongozi wa chama wajione kama hapa Tanzania ni wapitaji tu na muda wowote wanaweza kusaliti nchi na kukimbia hivyo hawaoni haja ya kujenga makao makuu ya kudumu.
Well said. Siwaamini kabisa hawa jamaa, naona kama ni wahuni tu.
 
Hawa watu ni feki tupu tena ni wajinga maana hawajui ni wajinga. Kwa ujinga wao wanafikiri hizo harakati zao kwa kulipwa ujira nje ndio uzalendo.

Hebu fikiri, mtu kama mbowe na lisu wanasema wazi kwa kuona fahari watoto wao ni raia wa marekani. Lema naye kwa fahari anatuambia wanawe ni wamarekani. Hivi viongozi kama hao kitu gani kiwafanye kujali mstakabali wa nchi ya tanzania?

Lissu baada ya kushtuka kwamba sio sahihi kuringia mwanae kua ni raia wa marekani akajidai eti ni uamuz wa wanawe wenyewe. Kwanza mtoto mdogo anaongozwa maamuzi na mzazi. Na mtoto wa kiongozi anayejidai ni mkubwa kwa malezi ya wazazi hawezi kuamua kua raia wa nchi nyingine.
Kwa ufupi iogopeni chadema wandugu hao ni mamluki.
Tuigope CHADEMA....

CHADEMA haifai.....

Hawa akina Lissu na Mbowe wanaweza KUTUUZA NA KUIIUZA NCHI YETU.....

Kule katika mashamba ya watumwa Marekani kulipata kutokea mtu aitwaye UNCLE TOM....kisa chake ni mashuhuri mno.....

Mbowe naye ni UNCLE TOM...
Lissu naye ni UNCLE TOM....
Lema naye ni UNCLE TOM....

Tuwaogope akina UNCLE TOM.....

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hawa watu ni feki tupu tena ni wajinga maana hawajui ni wajinga. Kwa ujinga wao wanafikiri hizo harakati zao kwa kulipwa ujira nje ndio uzalendo.

Hebu fikiri, mtu kama mbowe na lisu wanasema wazi kwa kuona fahari watoto wao ni raia wa marekani. Lema naye kwa fahari anatuambia wanawe ni wamarekani. Hivi viongozi kama hao kitu gani kiwafanye kujali mstakabali wa nchi ya tanzania?

Lissu baada ya kushtuka kwamba sio sahihi kuringia mwanae kua ni raia wa marekani akajidai eti ni uamuz wa wanawe wenyewe. Kwanza mtoto mdogo anaongozwa maamuzi na mzazi. Na mtoto wa kiongozi anayejidai ni mkubwa kwa malezi ya wazazi hawezi kuamua kua raia wa nchi nyingine.
Kwa ufupi iogopeni chadema wandugu hao ni mamluki.
[emoji7]

Back
Top Bottom