Hawa wenye watoto nje ya nchi kama wapo na hawa wanaoficha hela za nchi nje ya nchi kama wapo kuna tafauti gani?Kitendo cha chama cha CHADEMA kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini.
Watoto wa Mbowe, Lissu, Lema etc ni raia wa Marekani na Canada na wanasomeshwa kwa kodi za mataifa hayo, hali hiyo imewafanya viongozi wa chama wajione kama hapa Tanzania ni wapitaji tu na muda wowote wanaweza kusaliti nchi na kukimbia hivyo hawaoni haja ya kujenga makao makuu ya kudumu.