Kuna mwanadamu asiyemuandaa mwanaye?!!!
Unataka kulazimisha mfumo wa maandalizi ya mtoto uwe mmoja ?!!!
Mbona unalazimisha kuingiza kitanda ya futi 6 katika kachumba kwa mbwa?!!!
Hakuna mzazi mtimilifu asiyejua kuwa ELIMU ndio msingi wa maisha....kwani hakuna wanaomaliza vyuo vikuu waliosomea Kayumba ?!!!
Kwa kipato gani cha mtanzania wa kawaida/mtumishi wa umma akaweza kumsomesha mwanaye FEZA/IST na kumpa scholarship ya HARVARD?!!!
Mbona unaongelea kakikundi kadogo kawatu tu ?!!!
N.B Wako wafanyabiashara wa Kati ambao hawana elimu ya sekondari na wametokea familia dunia ambao pia wanasomesha watoto wao huko FEZA kwa kuwa tu "kimewachanganyia".....usitumie SITUATION moja kwa watu tofauti.....
BROADEN YOU MIND
Sent from my TECNO F1 using
JamiiForums mobile app