Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Hakuna hoja hapo kuna udaku wa mjinga aliyeshindwa maishaJibu hoja
Hawatetei masilahi ya nchiWamevunja kifungu gani cha sheria za JMT?
Hawa watu ni feki tupu tena ni wajinga maana hawajui ni wajinga. Kwa ujinga wao wanafikiri hizo harakati zao kwa kulipwa ujira nje ndio uzalendo.Kitendo cha chama cha Chadema kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini.
Watoto wa Mbowe, Lissu, Lema etc ni raia wa Marekani na Canada na wanasomeshwa kwa kodi za mataifa hayo, hali hiyo imewafanya viongozi wa chama wajione kama hapa Tanzania ni wapitaji tu na muda wowote wanaweza kusaliti nchi na kukimbia hivyo hawaoni haja ya kujenga makao makuu ya kudumu.
Sabaya ameingiaje hapa?mashoga ya ccm yamemtelekeza sabaya kumpa promo baada ya kukiri ujambazi na kuhukumiwa.
Watanzania wanatakiwa kuwapuuza hawa vilaza kwa nguvu zoteHawa watu ni feki tupu tena ni wajinga maana hawajui ni wajinga. Kwa ujinga wao wanafikiri hizo harakati zao kwa kulipwa ujira nje ndio uzalendo.
Hebu fikiri, mtu kama mbowe na lisu wanasema wazi kwa kuona fahari watoto wao ni raia wa marekani. Lema naye kwa fahari anatuambia wanawe ni wamarekani. Hivi viongozi kama hao kitu gani kiwafanye kujali mstakabali wa nchi ya tanzania? Lissu baada ya kushtuka kwamba sio sahihi kuringia mwanae kua ni raia wa marekani akajidai eti ni uamuz wa wanawe wenyewe. Kwanza mtoto mdogo anaongozwa maamuzi na mzazi. Na mtoto wa kiongozi anayejidai ni mkubwa kwa malezi ya wazazi hawezi kuamua kua raia wa nchi nyingine.
Kwa ufupi iogopeni chadema wandugu hao ni mamluki.
Wametajwa kwenye ukurasa wa ngapi kwenye ile report Ya CAG?Hawatetei masilahi ya nchi
Ukurasa wa ngapi kwenye ile report ya CAG?Kitendo cha chama cha Chadema kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini.
Watoto wa Mbowe, Lissu, Lema etc ni raia wa Marekani na Canada na wanasomeshwa kwa kodi za mataifa hayo, hali hiyo imewafanya viongozi wa chama wajione kama hapa Tanzania ni wapitaji tu na muda wowote wanaweza kusaliti nchi na kukimbia hivyo hawaoni haja ya kujenga makao makuu ya kudumu.
Lini wanajenga ofisi?Wametajwa
Ukurasa wa ngapi kwenye ile report ya CAG?
Usaliti ni jambo baya zaidi.Kati ya kuwa mpinzani na watoto sio "RAIA WA TANZANIA" au kuwa mtanzania na watoto wa tanzania, tena waziri na kufanya "UFISADI WA TRILLIONI 1.5" mpaka rais anakasirika na kutukana kukuita mpumbavu (Stupid)!.
Jambo lipi baya zaidi?
Watoto wa nani wanatetea hayo maslahi ya nchi?Hawatetei masilahi ya nchi
Kawaulize kwanza pale lumumba lini wanaacha wizi?Lini wanajenga ofisi?
Akili yako ndogo sana wewe so kila anayesoma ulaya analipiwa na wazungu? Na wazungu wote ni mashoga? Kwa hiyo na waanzania wote ukiwemo wewe ni mashoga maana tunapokea pesa za misaada ya bajeti toka kwa mashoga?Mashoga ni hao wanaosomeshewa watoto wao na wazungu hapo ufipa
Mawazo ya kimaskini sana, tukianza kukaguana tutajikuta wanaosoma Kayumba ni watoto wa wakulima ambao ki-uhalisia hawana future yoyote na Taifa letu.Kitendo cha chama cha Chadema kukosa ofisi ya maana kwa miaka 30 kimetafasiriwa kama ni kukosa nia ya dhati ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa sababu familia za viongozi hao siyo raia wa Tanzania na hawaishi hapa nchini.
Watoto wa Mbowe, Lissu, Lema etc ni raia wa Marekani na Canada na wanasomeshwa kwa kodi za mataifa hayo, hali hiyo imewafanya viongozi wa chama wajione kama hapa Tanzania ni wapitaji tu na muda wowote wanaweza kusaliti nchi na kukimbia hivyo hawaoni haja ya kujenga makao makuu ya kudumu.
Mzalendo wa kweli hawawezi kutetea AcaciaWatoto wa nani wanatetea hayo maslahi ya nchi?