Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kuna wasiwasi kuhusu haki za baadhi ya wagombea
Ila safari hatutakubali
Kama Cecilia mwambe akikatwa patachimbika
Wewe ukiwa kama nani?Kuna wasiwasi kuhusu haki za baadhi ya wagombea
Ila safari hatutakubali
Kama Cecilia mwambe akikatwa patachimbika
Kuna wasiwasi kuhusu haki za baadhi ya wagombea
Ila safari hatutakubali
Kama Cecilia mwambe akikatwa patachimbika
wacha kutembea uchiKuna wasiwasi kuhusu haki za baadhi ya wagombea
Ila safari hatutakubali
Kama Cecilia mwambe akikatwa patachimbika
Uchaguzi wa viongozi wa Chadema Taifa umeshika kasi , tayari Kamati kuu ishaanza vikao vya usaili wa walioomba uongozi wa juu
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa zaidi .
Uchaguzi wa viongozi wa Chadema Taifa umeshika kasi , tayari Kamati kuu ishaanza vikao vya usaili wa walioomba uongozi wa juu
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa zaidi .
Huyo jamaa mm mwenyewe nimemfatilia analipwa kwaajiri ya kusifia utawalaKuna watu sijui kazi mnafanya saa ngapi??? Au ndiyo kazi zenu hizi mmeajiliwa.. Maana kila Uzi upo inaonekana unalipwa vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
huku cdm hakuna buku 7!Ole wenu mchezee boksi la kura
Tutapinga matokeo mahakamani
Mambo ya chadema hayakuhusuOle wenu mchezee boksi la kura
Tutapinga matokeo mahakamani
HaswaaaaNaam Mkuu safari Hii hatutaogopa ubabe wa kina Lema
tunamtaka ben na azory. waeleze sandarusi za maiti baharini ni za akina nani?Watanzania tumefikia hatua ya kubaguana kiasi hiki?
Ndugu zangu chadema mnalitakia nini hili Taifa?