Kamati Kuu ya CHADEMA yaanza vikao vya kusaili Wagombea wa uongozi wa juu wa Chama

Kamati Kuu ya CHADEMA yaanza vikao vya kusaili Wagombea wa uongozi wa juu wa Chama

Naam Mkuu safari Hii hatutaogopa ubabe wa kina Lema
Hahaha! Kawe Alumni bhana. Nimegundua wewe umeajiriwa kucomment na kuanzisha thread. Haiwezekani kila thread upo. Na kwa kuwa umeifanya kama ajira, imefikia hatua hata unavyoandika na kucomment vinakosa mantiki.
 
Kuna wasiwasi kuhusu haki za baadhi ya wagombea

Ila safari hatutakubali

Kama Cecilia mwambe akikatwa patachimbika
Umehama CCM??
tapatalk_1576418332246.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa Chadema imebaki mifupa mitupu!
Kijana unahangaika sana kuichafua chadema , nataka nikuambie kitu wakubwa wanaokutuma wameshindwa , wako na wale walipwa elfu 7 wenzio mpaka wamekimbia jukwaa kwa aibu , sasa kapuku kama wewe ambaye ukiingia kwenye basi abiria wanashuka huwezi kuisumbua chadema
 
Sasa mbona wewe desderia unateseka?!!
 
Back
Top Bottom