Kamati Kuu ya CHADEMA yaanza vikao vya kusaili Wagombea wa uongozi wa juu wa Chama

Kamati Kuu ya CHADEMA yaanza vikao vya kusaili Wagombea wa uongozi wa juu wa Chama

CDM kila la kheri, ila salini sana ili Mola atawale vikao vyenu kwani shetani yupo mlangoni kwenu ili aharibu kazi zenu.
 
Membe kwan ni member wa chama chetu kinachofanya uchaguzi kwa sasa...
Membe Kawashika pabaya dadeq, na hao wazee wote hakuna mwenye presha wala kisukari tusijesikia oh presha ilipanda ikapasua mshipa mkubwa wa damu au sukari ilishuka sana, watoke salama hao, maana mumezoea kuwang'oa roho wakosoaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom