SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Kurukia rukia mambo msiyoyajua ndiyo mnazawadiwa mimba za utotoni. Unamshabikia mtu hata jina lake hulijui, CCM nani kawaroga?Mwenyekiti mtarajiwa wa chadema huyo
Mbowe ni Mwenyekiti kuhoji wagombea uenyekitiUchaguzi wa viongozi wa Chadema Taifa umeshika kasi , tayari Kamati kuu ishaanza vikao vya usaili wa walioomba uongozi wa juu
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa zaidi .
======
Kamati Kuu ya (CHADEMA) Taifa inaketi leo Jumatatu Disemba 16, 2019 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, agenda kuu ikiwa ni kuchambua na kufanya usaili wa wanachama waliochukua, kujaza na kurejesha fomu za kuwania uteuzi wa kugombea uongozi ngazi ya taifa, katika nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa (Tanzania bara na Zanzibar) huku ikifanya uteuzi wa wagombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu.
View attachment 1294012
Umekunywa hata chai?Hakuna masikini anayeweza kunitesa , naweza kuteseka kwa kuwaza namna ya kukukwamua kwenye tope la umasikini tu
Sina chama mm hapa Tz.... Sema ni mdau wa siasa na nawadisi baadhi ya watu sababu hawapendi maendeleo kama mahaini....Nimeleta hiyo kwa vile wewe ni mccm halafu unataka tujadili nini na wewe? Malizaneni na Membe ndiyo mrukie kwa jirani. Hivi CCM nani kawaroga nyie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani bado ipo , si wamesema midege na mifly over ya magufuli imeisambaratisha ?stay tuned chadema Ijumaa itapasuka .Makundi makubwa yatahama chadema
Kwani na we ni mwanachama wa CHADEMA?Ole wenu mchezee boksi la kura
Tutapinga matokeo mahakamani
Kuna watu sijui kazi mnafanya saa ngapi??? Au ndiyo kazi zenu hizi mmeajiliwa.. Maana kila Uzi upo inaonekana unalipwa vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Utapasuka wewe kwa kutoridhika na bwana mmojastay tuned chadema Ijumaa itapasuka .Makundi makubwa yatahama chadema