Uchaguzi 2020 Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana kujadili Uchaguzi Mkuu 2020

Kweli Corona imekwisha chadema hawakutani tena kiteknolojia hahaahaha
Halafu hapo kwenye pesa hapo ni hatari sana
 
Kweli Corona imekwisha chadema hawakutani tena kiteknolojia hahaahaha
Halafu hapo kwenye pesa hapo ni hatari sana
Hahahhaha... Zile zilikuwa kiki tu, na vile vi computer vyao vya mtumba
 
Kushiriki uchaguzi huu bila tume huru ya uchaguzi inaweza kuwa uamuzi mzuri kwa cdm, lakini sio uamuzi sahihi. Mimi bado msimamo wangu uko palepale, siwezi kwenda kupiga kura bila kuwa na tume huru uchaguzi maana ni kupoteza muda.
 
Hapa hata mm nimetilia mashaka

Ilani ilikuwepo, sasa hivi ni kuedit mambo kadhaa. Mahitaji ya watanzania bado ni yaleyale, kama una soft copy una edit tu baadhi.
 
Mmewezaje kuikwepa intelijensia ya polisi? Kwa hilo huenda mkatakiwa kukabidhi nyaraka za mkutano.
 
Tume huru haiwezi kuchaguliwa na mmoja wa washiriki wa uchaguzi. Tumeona kwa macho yetu tume ikiwa watiifu kwa chama cha mteule wa tume. Hapa tulipofikia hatuna uadilifu tena wa kumuamini kiongozi wa chama kishiriki, kuwa mteuzi wa viongozi wa tume.
Mfano Jeche wa Zanzibar alikuwa na mahaba na CCM si unaona anachofanya sasa, ati na yeye anagombea urais Zanzibar kupitia CCM. Mtu aliekuwa kiongozi wa Tume ya uchaguzi!
 
Tudai tume huru ya uchaguzi, hakuna uchaguzi bila kuwa na tume huru uchaguzi. Wapiga kura tunaojitambua hatuko tayari kujitokeza kupiga kura, chini ya tume inayoonyesha kuwa inafuata maelekezo ya chama tawala bila kificho.
Umenena vema. Ni kazi bure kushiriki uchaguzi wala kupiga kura chini ya tume hii.
 
Kushiriki uchaguzi huu bila tume huru ya uchaguzi inaweza kuwa uamuzi mzuri kwa cdm, lakini sio uamuzi sahihi. Mimi bado msimamo wangu uko palepale, siwezi kwenda kupiga kura bila kuwa na tume huru uchaguzi maana ni kupoteza muda.
Eeenh, basi SAWA. CCM na iendelee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…