Kamati Kuu ya Chadema yakutana Makao Makuu ya Chama Mikocheni, D'Salaam leo 10/1/2025

Kamati Kuu ya Chadema yakutana Makao Makuu ya Chama Mikocheni, D'Salaam leo 10/1/2025


Kuna tetesi kwamba kilichofanyika kwa Ntobi (chambo), mkipima kukifanya kwa Tundu Lisu mtapigwa viti, mawe, chupa na mbaya zaidi ofisi itachomwa moto ili mkose wote.

Unless kama poliCCM wataingilia kati kumlinda kibaraka wao Mbowe, na ofisi yake ya mchongo.
Lissu abakie hadi mwisho kuepusha visingizio ili ashuhudie BOX lake la kura likiwa na kura zake 7.
 
Watia nia mbalimbali wakiwa mbele ya Pilato wakisubiri hukumu

Screenshot_2025-01-10-15-42-09-1.png
Screenshot_2025-01-10-15-42-17-1.png
Screenshot_2025-01-10-15-41-50-1.png
 
Back
Top Bottom