Kamati Kuu ya Chadema yakutana Makao Makuu ya Chama Mikocheni, D'Salaam leo 10/1/2025

Kamati Kuu ya Chadema yakutana Makao Makuu ya Chama Mikocheni, D'Salaam leo 10/1/2025

Ntobi alikuwa chambo lakini wasisubutu kwa Lisu itakuwa mbaya
 
Taarifa kutoka kwenye Chama hicho inaeleza kwamba, Ajenda kuu ya kikao hicho ni Usaili wa Wagombea wa Mabaraza ya Chama hicho, BAZECHA, BAVICHA na BAWACHA

View attachment 3197417

Usiondoke JF ili ufahamu Wagombea watakaopenya kwenye Mchujo huo kabambe mithili ya Kupita kwenye Tundu la Sindano
Tundu lishazibwa asepe kwanza Ulaya kupumua kwa Aman!!!!
 
Back
Top Bottom