Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
endelea kuangazasimuoni bon yai, yuko wapi?
Lissu abakie hadi mwisho kuepusha visingizio ili ashuhudie BOX lake la kura likiwa na kura zake 7.Kuna tetesi kwamba kilichofanyika kwa Ntobi (chambo), mkipima kukifanya kwa Tundu Lisu mtapigwa viti, mawe, chupa na mbaya zaidi ofisi itachomwa moto ili mkose wote.
Unless kama poliCCM wataingilia kati kumlinda kibaraka wao Mbowe, na ofisi yake ya mchongo.
Nsoji go NvaaSugu kama mwehu tu anakishangaa chuma lissu
Wajumbe wote wanamfurahia Lissu isipokuwa Sugu anaonyesha chuki ya wazi waziPicha: Baadhi ya Wajumbe wakiwa ndani ya ukumbi
View attachment 3197430View attachment 3197431View attachment 3197432View attachment 3197433
Wachumba wa Mbowe mna nongwa na ushamba mwingi sana.β΄
Lissu abakie hadi mwisho kuepusha visingizio ili ashuhudie BOX lake la kura likiwa na kura zake 7.
Sugu anaangalia Usalama wa Lissu, huoni hiyo miwani ?Wajumbe wote wanamfurahia Lissu isipokuwa Sugu anaonyesha chuki ya wazi wazi
Mmmh! Siasa sio kabisa... tunaweza kuumizana mitaani bure tu, sikutegemea picha kama hii
Umejuaje ikiwa kavaa miwani ya giza?ππWajumbe wote wanamfurahia Lissu isipokuwa Sugu anaonyesha chuki ya wazi wazi
ππππUmejuaje ikiwa kavaa miwani ya giza?ππ
Nope ni Unafiki tu..., trait waliyonayo na wanayoiweza sana Wanasiasa... Mwisho wa siku hakuna uadui wala urafiki bali marriage of conviniece... (Na hii ni Wanasiasa wote the World Over)
Mmatusi.com naona anaomba kura mapemaPicha: Baadhi ya Wajumbe wakiwa ndani ya ukumbi
View attachment 3197430View attachment 3197431View attachment 3197432View attachment 3197433