Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana tena Kidijitali. Haya hapa ndio maazimio yake

Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana tena Kidijitali. Haya hapa ndio maazimio yake

Me binafsi sijaelewa maidhui na maazimio ya kikao ilikuwa ni nink hasa? Maana jambo pekee la maana lililosemwa hapo ni kutakia heri ya eid waislamu na kuwashauri wachukie tahadhari ya korona kwenye kusherehekea kwao. Au ndio sababu ya kikao cha kamati kuu?

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
siku ya kufa nyani miti yote huteleza, hivyo vikao havina tija yoyote,mbowe ajibu tuhuma za ufujaji wa pesa hayo mengine ni upuuzi tu.
 
Anaogopa mtikisiko wa chama. Aendelee kushupaza shingo. Hata nccr na cuf vilikuwa zaidi ya chadema. Na walijiamini zaidi ya chadema, tena bara na visiwani.

Atajikuta amebaki na hao wasiolipa michango esther bulaya, halima mdee, peter msigwa, esther matiko,lema na sugu ambao wote hao maslahi yao kwanza chama badae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa si walisema hawatashiriki uchaguzi mpaka kuwe na tume huru ya uchaguzi na katiba mpya?sasa madai yao yeshatekekezwa na serikali?
 
Ameongea kama kiongozi anaewajali wananchi.
Angesema zile posho za milioni mbili na ushee wanazitoa kusaidia jamii kwenye mapambano ya corona na wao kuunda kamati maalum ya kusimamia huo mchakato tungeona anajali wananchi. Ila anayoyaongea tulishaambiwa na rais hata kabla corona haijafika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angesema zile posho za milioni mbili na ushee wanazitoa kusaidia jamii kwenye mapambano ya corona na wao kuunda kamati maalum ya kusimamia huo mchakato tungeona anajali wananchi. Ila anayoyaongea tulishaambiwa na rais hata kabla corona haijafika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kiongozi mi nimeona amatekeleza wajibu wake kutuasa tujikinge na korona. Wananchi ndio tunaoathirika na korona sio serikali, wamechelewa sana kutoa maelekezo haya. Toka mwanzo walitakiwa kufanya hivi sio kuendeleza malumbano yasio na tija kwetu raia
 
Back
Top Bottom