Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana tena Kidijitali. Haya hapa ndio maazimio yake

Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana tena Kidijitali. Haya hapa ndio maazimio yake

Hawa ndio Chadema, wanaozingatia tahadhari zote kukabiri gonjwa hili la Conv19. Moja ya azimio ni hata Kampeni za Uchaguzi mkuu zitakuwa za kidigitali ili kuepusha maambukizi kwa wanachama na mashabiki wa chama pendwa. Mambo ni video conference mwanzo mwisho
 
siku ya kufa nyani miti yote huteleza, hivyo vikao havina tija yoyote,mbowe ajibu tuhuma za ufujaji wa pesa hayo mengine ni upuuzi tu.
Tatizo umeshikiwa akili kiasi cha kushindwa kusoma hata ripoti ya cag. Ni chama kipi kilikuwa na hati safi ya ukaguzi wa mahesabu? Nyie nyumbu wa kijani ni janga la taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom