paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,504
Uko dunia ya kumi weweMnajihami. Asubiri tu kama ni kweli mahakama itaona. Unadhani hata mkijihami itasaidia kitu mbele ya sheria.?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu habari za geita , ni lini ulijiunga Chadema ?Mimi ni muumini wa meza huru na kumaliza mambo kidipolomasia zaidi, sio fukuzafukuza bila kuwasikliza wafukuzwa!!!
Hapo ndipo wanapotupa kazi kubwa kweli kujibu hoja za upande wa pili
Chadema, democrasia iko wapi??
kukwepa corona ndio uhuni ?
Tunataka viwanda 4000,Noah zetu,million 50 kila kijiji,bila kusahau tule tutrilioni 1.5 turudi...then njoo tukupe majibu ya hizo TUHUMA MLIZOZIPANGA LUMUMBAsiku ya kufa nyani miti yote huteleza, hivyo vikao havina tija yoyote,mbowe ajibu tuhuma za ufujaji wa pesa hayo mengine ni upuuzi tu.
Kwa lipi la kunipa msongo eid fitir imepita salama kazi mnayo nyinyi wenye chuo cha ngono huko miaka mitano mnawanyanyasa wake za watu!pole sana mkuu kwa msongo wa mawazo
vikao vinakaliwa na kamati kuu sio wapambe wa mbowe.walamba miguukukwepa corona ndio uhuni ?
Lini unajiua?Chadema ujinga umekuwa sehemu ya maisha yao so walikutana kutuma salamu za idd
Utangulizi aya nne zote na kutakiana idd njema haya mambo mbalimbali ni yapi
Mkuu, habari za Geita Ni njema, Ila ni siku nyingi sana sipo huko, Mimi nilijiunga Chadema miaka 15 nyuma, Ila badae nikapunguza Sana Mapenzi na Chadema tangu sakata la EDL kuingizwa kwenye Chama kisafimkuu habari za geita , ni lini ulijiunga Chadema ?
[emoji28][emoji28] hili limekuwa la CDM Tena.... Dah hii CDM ni Moto [emoji91]Chadema msipotuonesha viwanda elfu nne mlivyojenga na Mil 50 kila kijiji sijui ,,Mtatuambia nini
Kwa hio kikao kiima kimekutana ili.kutoa salam za Idi
Hilo halipo tena.Mkuu suala la tume huru ya uchaguzi lilijadiliwa? Maana sioni kwenye hayo maazimio, ifahamike bila tume huru ya uchaguzi kushiriki huo uchaguzi ni kupoteza rasilimali fedha na muda.
Ndio Hivyo na posho za kibao wamelipana.Mbowe baada ya kubanwa kuwa kala bilioni nane peke yake kaja nabinu ya kuitisha vikao hewa hovyo kama hicho ili awagawie wajumbe wa kamati kuu kuwapoza wizi mtupuMaazimio ya mini mbona sijona bali ni kutakia heri ya eid na kujikinga na korona, kwa hiyo hayo nia maamuzi ya kamati kuu au?
Kama ndio basi hawajui wanakoelekea.
Kunywa sumu ya nini mkuu? Chama kinatuhumiwa na waliokuwa wabunge wake kwa tuhumu nzito za unyanyasaji wa kijinsia na matumizi mabaya ya fedha halafu Kamati Kuu inakaa inatoa eti "Salamu za Eid el Fitr"? Huku ni kumdhihaki Mwenyezi Mungu! Na adhàbu yake kwenu itakuwa ni kilio cha kusaga na meno!Kuna watu wanatamani kunywa sumu kabisa!!
Subiri bunge livunjwe alafu uone watakaohama Chadema kwa mambo mabaya mnayowafanyia. Utapata aibu kubwa.