Eti kwa kosa gani wakati wenyewe wamekiri kosa.Waombe radhi kwa kosa gani?
Kutoa maoni yao kwamba chadema ipate mwenyekiti mwingine ni kosa?
Kwa nini hawajifunzi kwa ccm iliyobadilisha mwenyekiti kutoka Nyerere, Mwinyi ,Mkapa ,Kikwete na sasa Magufuli?
Kwa hiyo Bavicha kutwa wanalilia Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Magufuli lakini hawataki Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Mbowe??
Acha porojo zako, mpango wa Lumumba kutumia hao majangili umekwama mmeanza horojoka.Wangejaribu kuwafukuza ndo ulikua mwisho wa Mbowe na chagadema yake,hao ndio wameshikiria button ya uhai wa Mbowe na saccos yake,wanajua dhambi zote
Hujui au ulipitwa na mengi kwenye hii ishu bora ukae kimya...Waombe radhi kwa kosa gani?
Kutoa maoni yao kwamba chadema ipate mwenyekiti mwingine ni kosa?
Kwa nini hawajifunzi kwa ccm iliyobadilisha mwenyekiti kutoka Nyerere, Mwinyi ,Mkapa ,Kikwete na sasa Magufuli?
Kwa hiyo Bavicha kutwa wanalilia Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Magufuli lakini hawataki Uhuru wa kutoa maoni kutoka kwa Mbowe??
cc: #teammisukulelumumbaMnyika:
Wahusika walifika mbele ya Kamati Kuu na kujieleza. Walikiri kuwa sauti zilizosikika ni zao na Kamati Kuu iliwahoji kwa muda mrefu.
Kamati Kuu ya Chama imefikia maamuzi kuhusiana na hili. Wamekutwa na hatia ya ukiukwaji wa Katiba ya Chama na Taratibu zake.
Wamepewa Onyo na kutakiwa kuandika barua ya kuomba radhi kwa chama na wanaotajwa kwenye Clip iliyosambaa.
Kamati Kuu imeamua kuwaweka kwenye kipindi cha uangalizi wa mwaka mmoja juu ya mienendo yao.
CHADEMA imeamua kuwavua nafasi zao zote za uongozi ndani ya chama na kubaki na nafasi ya uwakilishi wa wananchi tu (Ubunge).
Kubenea:
Nachukua nafasi hii kusema kuwa yaliyotokea ilikuwa bahati mbaya sana na hatukuwa na nia ovu yoyote. Naomba radhi sana kwa wanachama na watanzania wote kwa kilichotokea
Komu:
Nachukua nafasi hii kukishukuru chama kwa kulipa uzito suala hili; nakubali kuwa chama ni kikubwa kuliko sisi wote. Chama kina mikono yake. Baada ya Kamati Kuu kukaa na kutafakari yote yaliyotokea, kimeelekeza kama ilivyoazimia! Nitayatekeleza yote yaliyoelekezwa mara moja. Naomba radhi kwa chama, wanachama na watanzania kwa ujumla.
Mazungumzo yale yalikuwa ya faragha lakini teknolojia ilinizidi ujanja; nawaomba radhi Mh. Mbowe na Meya Boniface kwa kilichotokea. Tunataka tuanze upya.
MASWALI:
Kwanini kila inapofikia karibu na Uchaguzi Mkuu huwa chama chenu kinaibuka na matatizo kuhusu nafasi ya Uenyekiti?
Kubenea, kwanini uliandika suala la Ben Saanane kwenye gazeti lako kwa mtindo ule?
Kubenea na Komu, wakati chama chenu kina changamoto tunazoziona; mmepata wapi ujasiri wa kupanga haya dhidi ya wenzenu ndani ya chama?
Kama wabunge walikuwa wakipanga kumhujumu Mwenyekiti wao na Meya wao, chama kinajipangaje juu ya hili?
Kubenea na Komu, wakati mnapanga haya - mlikuwa mmelewa?
Je, Mbowe kama mhusika kwenye clip alipisha wakati wa mjadala?
Mnyika, kuna chuki kati ya Jacob na Kubenea?
Kubenea, kuna tetesi zinazoashiria una mpango wa kuhamia CCM; haiwezekani kuwa hii clip inaashiria kuwa uko njiani kuhama?
Chadema inaiga ya ccm?Unafaham Nyerere alikuwa Mwenyekiti kwa muda gani??
Yaani hiyo ndio sakafu ya makao makuu? Duh.Habari zalizotufikia Mezani Kwetu zinasema Mbungo wa Ubungo Saed Kubenea na Anthony Komu wamesamehewa nakutakiwa kuomba Radhi
Mubashara Kutoka Makao Makuu ya Chadema
https://www.facebook.com/video.php?v=729721287380739
Yericko Nyerere kaingia mitini.Yeriko nyerere...duh hadi huruma aseee
NenoMbowe kahofia ruzuku kupungua?
Yericko Nyerere kaingia mitini.
Kwa hiyo na ninyi mnataka kulipiza kwa kumpa Mbowe aongoze miaka 25 kama Nyerere?Unafaham Nyerere alikuwa Mwenyekiti kwa muda gani??
Nimeuliza swali sijaitaja Chadema hapo! Elewa swali!Chadema inaiga ya ccm?
hahaha hakika Mbowe ni mwana mahesabu mzuri maana amepiga mahesbu ya hela ya ruzuku itakavyo pungua kaona no bora wabaki kwa kuomba radhi
Huijui Chadema ikiamua huwa haiangalii mtu, hata kama wangefukuzwa isingekuwa mara ya kwanza alifukuzwa Naibu Katibu Mkuu Zitto sembuse Kubenea.Wangejaribu kuwafukuza ndo ulikua mwisho wa Mbowe na chagadema yake,hao ndio wameshikiria button ya uhai wa Mbowe na saccos yake,wanajua dhambi zote