Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam

Muwe mnapongezana hata kukandamiza demokrasia nchini
 
Saaa kama ni hiari kwann unawalazimisha watu wasichaje na ukizingatia yeye ni kiongozi wa dini( japo sina uhakika kama kweli)
 
inaonekana Gwajima alikuwa anamtumikia mtu fulani ila kwa sasa hayupo hivyo kapoteza mwelekeo na hayuko tayari kukubaliana na hali iliyopo.
sasa akubaliane na yatakayo mkuta ndani ya chama chake maaana.
 
Kamati kuu imesema mnaosema Corona ni 666 mchukuliwe hatua.
Heheheeeee ndio maana nimekuambia una uwezo wa kusikia, kuandika, kuongea na kusoma tuu, ila uwezo wako wa kuelewa ni sifuri yaani zero

Hizi ndio akili zenu kina Mdude
 
Kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM ndani ya ikulu! Si wanadai wana ofisi lumumba kwanini wasiende huko? Alafu samia karudi Dar bila kupepesa macho.
sisi ndiyo chama DOLA- mkiwa nanyi karibuni kwa sasa bakini huko kwenye nchi yenu ya TWITTER na mfalme KIGOGO
 
Walisemaje kuhusu huyo kijana wa mwalimu yaani Freeman Aikaeli Mbowe.

Kuhusu Katiba je.

Gwajima ataendelea kuwa mwanachama

Waambieni sensa hatutaki.
 
Pesa itapigwa huko kwa njia ya kununua dawa
 
Wanachelea nini kumshughulikia yule mfufua maiti? Yaani kamtukana raisi na wao wako kimya tu!!!!
 
Hivi huu haukuwa mkusanyiko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…