Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam

 
..kweli watanzania tuko kwa dilema..maana taarifa ni nyingi mno hata hujui nani mdema kweli...mimi kinachoniaminisha kuwa hapa kuna lingo...longo..ni pale matakari wa ulaya walisema Convid 19..is man made pandemic...so ukijiuliza nia na lengo nini la kuleta maradhi haya...napata shaka...ila kwa Kigwangala mi namuona ni wale watu wasiopenda kufutika..hata kama zama zao zimefutika. Anapandia mahali atapata kiki fasta...unfortunately..he is no longer influence..anademka tu!
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ambako kila mtu yuko ofisini kwake? Yaani ofisini ufananishe na huo mkutano mkuu wa chama ?
Ndiyo Ofisini kwake, ila huwa kuna meeting za mara kwa mara. Au unadhani kila ofisi zinafanana? Kuna ofisi kila asubuhi kuna meeting ya wafanyakazi wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…