Na hiyo kamati ya kuchunguza posho nayo italipwa posho za kamati?...
Wajumbe wanaounda kamati ya kuchunguza posho ni Lukuvi, Freeman Mbowe, Paul Kimiti, Mohamed Aboud, Asha Makame na Jenista mhagama.
Kwa taarifa ya nyongeza ni kwamba wanataka iPad siyo masuala ya makaratasi.Mwenyekiti wa muda wa ‪Bunge La Katiba ‬ameunda kamati ndogo ya wajumbe 6 kuchunguza suala la malalamiko ya posho juu ya bunge hilo la katiba.
Wajumbe wanaounda kamati ya kuchunguza posho ni Lukuvi, Freeman Mbowe, Paul Kimiti, Mohamed Aboud, Asha Makame na Jenista mhagama.
Wameanza na posho watamaliza na posho. Wanasiasa lao moja tu, ULAJI. Eti shs 300,000 (alfu mia tatu) posho kwa siku haitoshi! Kweli wanasiasa nchini ni kama mchwa. Mnaweza kuona kwa nini wanasiasa calibre ya zzk hawana nafasi kila upande.Mwenyekiti wa muda wa ‪Bunge La Katiba ‬ameunda kamati ndogo ya wajumbe 6 kuchunguza suala la malalamiko ya posho juu ya bunge hilo la katiba.
Wajumbe wanaounda kamati ya kuchunguza posho ni Lukuvi, Freeman Mbowe, Paul Kimiti, Mohamed Aboud, Asha Makame na Jenista mhagama.
Kamati ndogo ya walimu pia iundwe kuchunguza malalamiko ya walimu juu ya mishahara midogo na kuminywa marupurupu yao...
Pia kamati ndogo ya askari iundwe kuchunguza malalamiko ya askari kuhusu mishahara midogo
mbona wanapoteza muda maana hizo posho sio kama ni tatizo sisi tunachotaka waanze kufanya kazi ya kututengenezea katiba mpya.
kumbe hawa ni wachumia tumbo,hakuna katiba hapa.CCM ni janga
Kusanyiko la wahuni wa posho
Wamejitolea kwa nia njema kabisa ya kuhakikisha katiba mpya inapatikana lakini ajabu wamepewa posho ya laki 3 ambayo inawawezesha kukaa Dodoma vizuri bila shida ajabu wanakuja na ajenda ya posho haitoshi, hapa dhana ya kujitolea hakuna kabisa, wajumbe wengine pia ni wepesi mno maana niliangalia wakati imetolewa hoja ya kuzidi kwa kura, mjumbe mmoja mwanadada akatoa hoja nyepesi "tusirudie uchaguzi tuchukue hizo kura zilizozidi tuwagawanishe wagombea"(nilivyoona kauli kama hii imetoka kwa mjumbe nikasema tumeliwa maana mtu kama huyu sidhani kama atakuwa na upeo mkubwa wa kuangalia mambo mazito ndani ya katiba alafu leo tena wanakuja na hoja ya posho haitoshiHiyo kamati ichunguze na posho za kada zingine, maccm yanawaza posho tu
THE BIG SHOW
Acha matusi wewe... kujenga hoja kumekushinda!?
Kamati tena...kweli posho ni janga la taifa..sasa kamati ya nini...wafanye kazi huko!