stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
Muongo sana huyo,tushamzoe alikataa gari mwisho wa siku akalichukua,tapeli mkubwa huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli huo ndiyo msimamo wake basi napenda kuchukua fursa hii kumpongeza, lakini sijui kama hii habari ina ukweli wowote!!!
Bendera fuata upepo
Sasa CCM wanaona hili sawa? Kwa muundo wa serikali tatu mambo yananyooka tu hakuna ujuha hapa mkuu.RAIS wa Zanzibar naye ana mamlaka kwenye nchi yake. Hivi unajua nani anaidhinisha malipo ya wajumbe wa Baraza la wawakilishi?
Hapo ni kama nchi mbili zinakutana kujadili, hawa wakiwa na posho toka kwao na pia wanakuja kulamba za kwetu! Wazanzibar bwana Chao Chao Chetu Chao.
Sasa CCM wanaona hili sawa? Kwa muundo wa serikali tatu mambo yananyooka tu hakuna ujuha hapa mkuu.
Historia inatukataza kuwa na serikali moja, hili hata mmoja wa waasisi wa muungano wao huu aliliona na mpaka anaondoka madarakani hakulitekeleza. Kwa kuwa tunataka kuimarisha muungano wa watu basi serikali tatu ndo mujarabu hapa mkuu. Vinginevo sasa ni wakati sahihi kwa kuchukua maamuzi sahihi dhidi ya wapora demokrasia.Mkuu serikali tatu hakuna kitu hapo. Muungano wa maana ni serikali moja tu basi vinginevyo kila munu ave na kwao.
Historia inatukataza kuwa na serikali moja, hili hata mmoja wa waasisi wa muungano wao huu aliliona na mpaka anaondoka madarakani hakulitekeleza. Kwa kuwa tunataka kuimarisha muungano wa watu basi serikali tatu ndo mujarabu hapa mkuu. Vinginevo sasa ni wakati sahihi kwa kuchukua maamuzi sahihi dhidi ya wapora demokrasia.
Tusubiri tuone ila kitendo cha CCM kuwaamulia wananchi suala la katiba sasa iwe mwisho mkuu. Hawa wanataka nguvu ya umma itumike na machafuko yawepo ndio itakuwa faraja yao.Mkuu Zanzibar wanataka soveregnity yao na kwa serikali ta
tu hawawezi kuipata. Hata kama katiba yenye muundo wa serikali tatu bado kutakuwa na kero tena zitaongezeka. Tanganyika itakuwa na Bunge lake ambapo Wazanzibar hawataingia, Tanganyika itakuwa na serikali yake ambapo Wazanzibar hawataingiakama ilivyo sasa.
Hii kwao itakuwa kero.
Muongo sana huyo,tushamzoe alikataa gari mwisho wa siku akalichukua,tapeli mkubwa huyo.