Mbona kama ni yale yale? Kuongeza Per Diem Allowance kutoka 80,000.00 hadi 230,000.00 bado ni wizi. Hebu ngoja nikokotoe hapa chini;
Sitting Allowance 70,000.00
Per Diem 230,000.00
Posho 300,000.00
JUMLA 600,000.00
Bado tunarudi kule kule tulikokukataa.
Walichokifanya ni vice verse, Padiem 230,000
Sitting Allowance 70,000
Total 300,000
Kwa hiyo mkuu wakilipwa hiyo 300,000.00 ndiyo itakuwa imetosha kwa siku? Kama ni hivyo kiwango hicho ni reasonable kwa maana maana per diem ndiyo anayolipwa mtumishi yoyote wa serikali kwa ajili ya kujikimu awapo nje ya kituo chake. Na wao sio mbaya kwa ongezeko hilo.

Mbunge yeyoye mwenye akili asingekubali kuteuliwa kuingia kwenye hiyo kamati!
Mbowe maadam umeingia kwenye hiyo kamati,we pia utakuwa sehemu ya maamuzi yatakayofikiwa.
Nini ambacho hakieleweki hapo mpaka kamati iuendwe?!
Swala la sh 300,000 kwa siku kuwa ni anasa halina ubishi!
Mbowe hakupaswa kukubali huo uteuzi!
Leo wakisema CHADEMA mmeshiriki Mbowe utapinga vipi kauli hiyo?!
Wanasiasa kwenye hela ni wanafiki sana!