Kamati ndogo suala la posho yaundwa! Mbowe ndani!

Kamati ndogo suala la posho yaundwa! Mbowe ndani!

Ujinga mtupu...Kwani Per diem sio pesa...this country is very hopeless..boring and disguising...Viongozi wote walafi...sio chama tawala sio wapinzani.....hakuna mwenye uchungu na nchi hii....I wonder ,.....sasa mnadanganya watu eti posho haipandi na Per diem mnapandisha kwa asilimia 187...Hovyooooooo kabisaaaaaa...
 
Asante kwa tarifa..kamanda mbowe nawengne mkomae tunawategemea mtatuletea katiba bora.
 
Hawa wajumbe wa bunge la katiba,lengo lao ni kuhakikisha siku 70 ziishe ili wamalizie ziwe siku 90,
ndio maana badala ya kujadili lililowapeleka Dodoma wao wamekomaa na posho tu'
 
Mbona kama ni yale yale? Kuongeza Per Diem Allowance kutoka 80,000.00 hadi 230,000.00 bado ni wizi. Hebu ngoja nikokotoe hapa chini;

Sitting Allowance 70,000.00
Per Diem 230,000.00
Posho 300,000.00
JUMLA 600,000.00

Bado tunarudi kule kule tulikokukataa.

Walichokifanya ni vice verse, Padiem 230,000
Sitting Allowance 70,000

Total 300,000
 
Walichokifanya ni vice verse, Padiem 230,000
Sitting Allowance 70,000

Total 300,000

Kwa hiyo mkuu wakilipwa hiyo 300,000.00 ndiyo itakuwa imetosha kwa siku? Kama ni hivyo kiwango hicho ni reasonable kwa maana maana per diem ndiyo anayolipwa mtumishi yoyote wa serikali kwa ajili ya kujikimu awapo nje ya kituo chake. Na wao sio mbaya kwa ongezeko hilo.
 
Hiyo ndiyo posho yenyewe mkuu
 
From Perdiem 80,000 and Sitting allowance 220,000 TO Sitting Allowance 70,000 and Perdiem 230,000.

Tafsiri rahisi hapo ni kuwa, sasa hata ukitoroka mijadala bado utaendelea kuweka kibindoni 230,000/= kuliko ilivyokuwa awal ambapo kutoroka mijadala ulikuwa unaambulia ka 80,000/=........ Huu ni ujinga wa mwisho na endeleeni kuwadanganya hao hao tu!!
 
Kwa hiyo mkuu wakilipwa hiyo 300,000.00 ndiyo itakuwa imetosha kwa siku? Kama ni hivyo kiwango hicho ni reasonable kwa maana maana per diem ndiyo anayolipwa mtumishi yoyote wa serikali kwa ajili ya kujikimu awapo nje ya kituo chake. Na wao sio mbaya kwa ongezeko hilo.

Mkuu kwenye red, mtumishi wowote wa serikali awapo nje ya kituo anakomba 230,000/= ????? Una uhakika?
 
Mbunge yeyoye mwenye akili asingekubali kuteuliwa kuingia kwenye hiyo kamati!

Mbowe maadam umeingia kwenye hiyo kamati,we pia utakuwa sehemu ya maamuzi yatakayofikiwa.

Nini ambacho hakieleweki hapo mpaka kamati iuendwe?!

Swala la sh 300,000 kwa siku kuwa ni anasa halina ubishi!

Mbowe hakupaswa kukubali huo uteuzi!

Leo wakisema CHADEMA mmeshiriki Mbowe utapinga vipi kauli hiyo?!

Wanasiasa kwenye hela ni wanafiki sana!

Mzee, uwepo wa Mbowe siyo tatizo bali ni kama ataungana nao na kuongeza hiyo posho. Inawezekana alikubali kuingia huko ili ajaribu kuipunguza lakini akashindwa. Sasa mtego unakuja ni jinsi gani atatuaminisha kuwa alikuwa anapigania kitu tofauti na wenzake .................. maana kama aliona maji yamezidi unga angejitoa mapema na kuwaanika wenzake kabla uamuzi haujatolewa!!
 
Back
Top Bottom