JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,197
- Thread starter
-
- #21
Japo umeandika kipinzani ila umeandiaka iliyo hakika. Yanga lazima irudi kwa wanachama na mashabiki. Bila umoja na hamasa mashabiki mengi watakwepa kwenda uwanjani hivyo timu haitapata mapato.Wapige hesabu inapokea tsh ngapi za udhamini na gate collection inatumia kiasi gani kulipa wachezaji pamoja na benchi la ufundi, inalipa kiasi gani kwaajiri ya kambi pamoja na watendaji wa timu.
hesabu zipigwe kisha waangalie kimepungua kiasi na namna gani ya kukiongeza.
Kama kuna jini(deni) linakunywa pesa za Yanga muwaweke wazi washabiki na wanachama wa Club sio kuficha ficha Vyura nyie.
Soka letu lina mambo ya hovyo sana! Viongozi wa vilabu wanaona kama vilabu ni mali yao. Hawajali maslahi ya wachezaji wala walimu. Ndo maana siwaonei huruma wanavyopandisha ngazi za mahakama ya kisutu.hizi timu zetu kila zinapofika kwenye hatua nzuri za mashindano ya kimataifa basi matatizo ndani ya timu yanaongezeka..bado najiuliza ni nani aliye turoga????? kama yupo tumtafute jamani na kama kafa tuonyeshwe kaburi lake !!!!!
Yanga haijawahi kutafuta wafadhili ila wafadhili ndo walikuwa wanaifuata yanga. Wao ndiyo walikuwa wanaitumia yanga kupiga deal. Lakini kwa vile sasa deal hamna ndo maana huoni wadhamini tena. Pamoja na hayo ukweli unabaki kuwa yanga inaweza kujiendesha kwa faida bila kutegemea hao wadhamini.Yanga ni timu ya jalalani tu, pesa mpaka wafadhali....Yanga kama timu haina hela na haina tofauti na timu zingine za ligi yetu isipokuwa baba yao Azam tu.
Hiyo kuuza stake ni malengo ya muda wa kati. Kwa hali ya sasa, nini kifanyike ili timu irudishe furaha na umoja kwa mashabiki wake?Tatizo la Yanga ni uongozi. Viongozi wa Yanga siyo wasomi na wanachama wasomi wa Yanga wanaogopa kuiongoza. Majungu na ugomvi mwingi. Makundi ya kukaa getini (maninja) ndiyo yanayoamua nani awe kiongozi.
Bayern Munich wana Board of Directors yenye watu tisa.
Kuna mtu wa Adidas, Audi, Allianz na wanachama wana watu wao sita.
Yanga wauze angalau 30% stake ya club ili kuvutia investment na utaalam wa uongozi.
Inaelekea watiifu wa kanjibhai wanakuza matatizo ili waonyeshe kanjibhai ndo kila kitu yanga. Ndiyo maana tunahoji ili waweke wazi tatizo la timu. Na kama wanakuza matatizo hesabu zitawaumbua.Umegonga penyewe mkuu. Hapa ndio tatizo linaanzia
Hizo ni propaganda za watu waliokuwa wanaitumia yanga kupiga deal. Ila ukweli ni Yanga imekuwepo kabla mbaazi hazijaanza kulimwa bongo.Umegonga penyewe mkuu. Hapa ndio tatizo linaanzia
Hivi nani aliyewadanganya mapato ya klabu ni viingilio pekee?Japo umeandika kipinzani ila umeandiaka iliyo hakika. Yanga lazima irudi kwa wanachama na mashabiki. Bila umoja na hamasa mashabiki mengi watakwepa kwenda uwanjani hivyo timu haitapata mapato.
Karibu katika mapambano ya kuigomboa timu yetu.Dah! Yanga timu yangu tangu utotoni. Nasikia uchungu sana kwa muhindi kama huyu hata kuzungumzia mpira.
Hamna namna, itabidi tuwabane! Kama hawana uwezo wakautafute kupitia Njombe Mji ila siyo yanga.Naunga mkono hoja, ni aibu kiongozi kuendelea kujamba kwenye kiti cha ofisi wkt huna mpango wowote wa maendeleo. Kuliko kulalamika kila siku hebu achia nafasi mawazo mapya yaingie.
Mimi sijaongelea viingilio nimeongelea mapato. Kama hujui uwepo wa mashabiki uwanjani una multiplier effect kwenye mapato ya timu. Mosi ni viongilio, pili mauzo ya jezi, tatu matangazo ya ndani ya uwanja na hata haki za TV na wadhamini inategemea fans base ya timu. Fans base unaipima kwa muitikio wa hao mashabiki kwenda uwanjani. Hivyo kazi ya pili ya kiongozi wa timu baada ile ya kuhakikisha timu inaenda uwanjani ni ile kuhakikisha mashabiki wanaenda uwanjani kwa wingi.Hivi nani aliyewadanganya mapato ya klabu ni viingilio pekee?
Kwa sasa hivi, timu imeshaharibika.Hiyo kuuza stake ni malengo ya muda wa kati. Kwa hali ya sasa, nini kifanyike ili timu irudishe furaha na umoja kwa mashabiki wake?
Dah! Yanga timu yangu tangu utotoni. Nasikia uchungu sana kwa muhindi kama huyu hata kuzungumzia mpira.
Yanga haijawahi kutafuta wafadhili ila wafadhili ndo walikuwa wanaifuata yanga. Wao ndiyo walikuwa wanaitumia yanga kupiga deal. Lakini kwa vile sasa deal hamna ndo maana huoni wadhamini tena. Pamoja na hayo ukweli unabaki kuwa yanga inaweza kujiendesha kwa faida bila kutegemea hao wadhamini.
Hiyo ndiyo sababu ya uzi huu. Watumbie kwa nini kuna ukata usioisha? Kama hawataki kusema waachie ngazi. Hizi ni zama za Uwazi na Uwajibikaji.Sasa kwanini kila mwaka wanasaka hela kama kweli wanaweza kujiendesha kama usemavyo?
Kwa hiyo unataka kusema Yanga itapoteza hizo rights kwa mashabiki kutokwenda uwanjani? Na ni nani alyesema mauzo ya jezi ni uwanjani tu? Mtazamo huu ndio unayageuza matawi kiwa uwanja wa majungu na kupanga mapinduzi ya uongozi badala ya kuhamlea fans base hatakusudii waenda uwanjani pekee. Wengi zaodi hata hawafiki uwanjani.Mimi sijaongelea viingilio nimeongelea mapato. Kama hujui uwepo wa mashabiki uwanjani una multiplier effect kwenye mapato ya timu. Mosi ni viongilio, pili mauzo ya jezi, tatu matangazo ya ndani ya uwanja na hata haki za TV na wadhamini inategemea fans base ya timu. Fans base unaipima kwa muitikio wa hao mashabiki kwenda uwanjani. Hivyo kazi ya pili ya kiongozi wa timu baada ile ya kuhakikisha timu inaenda uwanjani ni ile kuhakikisha mashabiki wanaenda uwanjani kwa wingi.