JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,197
- Thread starter
- #21
Japo umeandika kipinzani ila umeandiaka iliyo hakika. Yanga lazima irudi kwa wanachama na mashabiki. Bila umoja na hamasa mashabiki mengi watakwepa kwenda uwanjani hivyo timu haitapata mapato.Wapige hesabu inapokea tsh ngapi za udhamini na gate collection inatumia kiasi gani kulipa wachezaji pamoja na benchi la ufundi, inalipa kiasi gani kwaajiri ya kambi pamoja na watendaji wa timu.
hesabu zipigwe kisha waangalie kimepungua kiasi na namna gani ya kukiongeza.
Kama kuna jini(deni) linakunywa pesa za Yanga muwaweke wazi washabiki na wanachama wa Club sio kuficha ficha Vyura nyie.