Kamati ya Bunge itakayomuhoji Gwajima ijiandae kukutana na majibu yatakayowaacha wakiangaliana

Watanzania mnavyojua kudaka misamiati ya kibeberu hamjambo. Eti go get a "jab", nadhani baada ya hiyo utaenda pia kupata "booster shot".
 
Hiyo kamati inamuhoji gwajima kuhusu maswala ya chanjo kama nani? hiyo chanjo bado ipo kwenye majaribio/utafiti......kimsingi wanaotakiwa kutoa maelezo au clarification kuhusu majaribio ya chanjo kwa binadamu ni watafiti wenyewe au wasaidizi wao......gwajima ajilalie usingizi wake tu hana la kujibu hapo.
 
Ndio maana naamini wanaweza kujikuta hawana hata maswali ya kumuhoji wakabaki tu kutazamana. Tena wasisahau ni Waziri huyu huyu aliesimama kidete kupinga chanjo enzi za Magufuli na kuaminisha umma kuwa hizi chanjo bado zina utata.
 
Ule wito wa kuhojiwa unaletwa ki samansi, kama huna nauli, unakopa dukani kwa Mangi, baada ya mahojiano, unakabidhi risiti za safari, unarejeshewa nauli yako na kulipwa per diem ya 3 days.

Ila ukishindwa kuja, kutokana na kukosa nauli, wataahirisha kukuhoji, watakutumia watu na kukupatia usafiri wao, na ukifika Dodoma, watakuhifadhi wao, mpaka siku ya mahojiano.

Hivyo una hiyari uende mwenyewe au ufuatwe upelekwe.
P
 
Endeleeni kuongopeana. Unawezaje kulisukuma gari ukiwa ndani? Yani mbunge mmoja wa CCM aishinde CCM nzima? Tatizo hamna kumbukumbu.

Mmeshasahau ya Professor Assad. CCM wanao uwezo mkubwa sana, na hawana mpinzani linapokuja suala la kujitoa ufahamu!
 
Japo simuungi mkono askofu Gwajima uwasilishaji wa hoja yake ingawa hoja yake kwangu ina nguvu na ni hoja inayotakiwa kujibiwa kitaamu.

Hio kamati ya bunge Lau ingekuwa ni mtu wa kwanza kumhoji na kuja na majibu yanayoingia akilini kulingana na wito walimuitia mtuhumiwa binafsi ningekuwa na imani nayo, waliwahi kumhoji Makonda, mwandishi wa habari Paschal na wengine lakini hakuna kilichoendelea.
 
Wajumbe wa hiyo Kamati wengi hawatakuwepo wataomba udhuru maana wote kwa umoja wao wataaibika maana hawamuwezi Gwaji Boy
 
Yule Amefika mbali sana kiukweli
 
Rashid ana kofia mbili za kuongea kama mbunge pili kama kiongozi wa dini hayo maneno aliyaongea akiwa kama nani.
 
Bunge limedhalilika kwa kutuletea tozo nyingi ambazo ni maumivu kwa raia na wala hazihitajiki kwa nchi inayojiita Tajiri.
 

kwani wakina mdee na lema walikuwa hawana majibu😂 hawa jamaa wanafuata maelekezo tu
 

Wajumbe wa hiyo kamati ni kina nani? Majina yao tafadhali
 
Na awe muangalifu huko njiani akiwa anaelekea huko,
1. mwaka jana mlituaminisha na kuhubbiri chanjo haifai
2.mda mfupi baadae chanjo inafaa.
Tuchague lipi na ni chanjo ipi ilikuwa haifai na kwa nini mnasema leo inafaa?.
Vichwa vya wadanganyika vina ukoko
 
Rais unazungumzia yule anaerembua
 
Naomba connection ili namimi nihojiwe hata wiki 1
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani Pasco mngeacha kumwongelea, mwoneeni huruma. Walikomba akili yote, wakamwacha mtupu. Toka wakati huo uwezo aliobakiziwa ni wa kuimba tu sifa za Rais.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…