Jackson Turary
Senior Member
- Jan 1, 2014
- 161
- 136
Hapa naona Mr. Gwajiboy watambana kwa vipengele viwiliKwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga.
Rejea kisa cha mwanamke aliefumaniwa na watu kutaka kumpiga mawe, habari ya kaisali na ile ya wafuasi wake kumtafuta Yesu na majibu aliyowapo.Hayo yakiwa kwa uchache tu.
Kwa wasiofahamu habari za Yesu, kisa kimojawapo ni hiki hapa chini:
Yohane 8 | BHN Bibilia | YouVersion
Japo simkubali sana Askofu Gwajima, lakini naamini atawashangaza wajumbe wa hiyo kamati kwani ni wazi Gwajima hana kosa na zaidi Gwajima hayuko Bungeni kwasababu ana shida na hela ya ubunge.
I wish mahojiano yangekuwa live.
Hata hivyo, kwa majibu watayopewa, watahadithiana na tutayajua.
Tusubiri.
(1)Kutoa uthibitisho juu ya viongozi kuopokea rushwa ili kukubali chanjo.
Hapa watamkamata kwa kukosa uthibisho sababu issue ya rushwa ni ngumu sana kuithibitisha kati ya mtoaji na mpokeaji
(2)Viongozi kuchanjwa chanjo feki;
Hapa watamkamta sababu atathibitisha vipi kuwa mh. Rais alichanjwa chanjo feki kuwadanganya wananchi ili waikubali chanjo. Hii ina maana pale kwenye zile chonjo zilimotolewa kichupa ambacho rais alidungwa kilitegeshwa ili tuzuga wananchi. Hapa atathibitishaje sindano ya Rais ilikuwa feki!.
Kwa mtazamo wangu hapa naona kwenye hii kona hatawéza kuchomoka kirahisi.