Kamati ya Bunge itakayomuhoji Gwajima ijiandae kukutana na majibu yatakayowaacha wakiangaliana

Muulize Mayalla atakwambia
 
Mchungaji Gwajima ana hoja, vielelezo na mifano mingi tu ametoa na hatufahamu kama ana mengi zaidi.

Pia leo kashauri mawaziri wa wa Afya wote wajiuzulu kwa kubadili gia angani.

Anayo video ya waziri Dorothy akijivukiza na kunywa dawa ya asili na pia anayo video ya Dr Mollel akitetea msimamo wa serikali ya awamu ya 5 kuhusu chanjo alipoalikwa mara mbili studio za runinga.

Ukibishana na mtu mwelevu usimkabili kwa pupa bali watakiwa kujiandaa uzuri ili usiabike.
 
Sawa tusubiri matokeo, ila kuna vitu vinafikirisha juu ya Gwajima.
Hivi kipindi cha Magufuli alishindwa kupata jambo lakushupalia? Yote aliyofanya yalikua sawa?
Aliwashupalia wazee wa ngada za magumashi vipi walio kamatwa na kuitwa lockup kuna aliyehukumiwa kuhusu madawa ya kulevya ama kichwa yako ni open ended inapitisha upepo haitunzi kumbukumbu...
 
Gwajima hachomoki ana Kona nyingi za kufeli
 
Kauli za ndani ya Kanisa tafsiri yake ni tofauti na huko duniani.

Kupokea rushwa maana yake ni kutenda kama " kipofu"

Chanjo feki alimtaja yule afisa elimu wa Arusha, hilo la Rais wewe ndio unalianzisha hapa Jf
Kwani pale kwa Gwajima Ni kanisa au kijiwe Cha mipasho?
 
Tunataka tuone atakavyothibitisha Viongozi kupokea Rushwa na kuchoma chanjo feki.
 
Daudi Bashite walimfuata !!!?? Mkuu
 
Wajiandae na sayansi ya hii mRNA DNA gene therapy,which is relatively new science.Kama hawajui Operating System iliyotumika kwenye hiyo chanjo,Nano Technology iliyo tumika,Hydrogel usage kwenye hiyo chanjo,Spike Poteins and how mRNA is being used to produce the Spike Proteins, relationship ya hizo chanjo na 5G,wasijaribu kumhoji,kwa kuwa wataingia aibu.Furthermore wajiandae pia kutoa maelezo ya kina juu ya athari za Spike Proteins mwilini.

Wajiandae pia kujibu kama wanajua how the vaccines will affect human rights,kwa kuwa humans will be GMOs.Wajiandae pia kujibu how the vaccines will affect privacy,because each individual will be connected to a central data base,and who will control the data base.Ningewashauri watakao mhoji wajiandae na science ya "shedding of spike proteins," kama hawajui itakuwa ngumu sana kwao.In short wajiandae kweli kweli.
 
Kauli za ndani ya Kanisa tafsiri yake ni tofauti na huko duniani.

Kupokea rushwa maana yake ni kutenda kama " kipofu"

Chanjo feki alimtaja yule afisa elimu wa Arusha, hilo la Rais wewe ndio unalianzisha hapa Jf
Afisa Elimu alichukuliwa hatua na serikali au hakuchukuliwa?
 
Ndio mwisho wa wanafiki wote. Gwajima anaitwa na kuhojiwa kwa lipi? Yeye amesema hachanjwi pamoja na waumini wenzake ambao wanamtegemea Mungu.

USA, UK na nchi ambazo zimepiga hatua kubwa wapo wengi tu wamekataa chanjo, Serikali inaposhinikiza hili swala wanaonekana wajinga. Chanjo sio lazima.

Israel ambao walisifiwa kwa uchanjaji sasa wanaanza kusambaza booster Namba 3. Sisi hiyo moja tu ni shida, huu ugonjwa hauendi popote pale lazima upunguze idadi ya watu hapa ulimwenguni maana tumezaliana kama mchanga. Wacha uwachukue wengine wanaojifanya hamnazo.
 
Ili selikal au bunge washinde basi inabid wawe wajumbe wenye akili sana wenye kusoma tafit za dunia la sivyo wataumbuka

Ila wanaweza Fanya maamuz ya kibabe pia make kwa hoja sio rahis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…