Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Yule mzee alituona mazwazwa sana...Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Kamati ya Bunge la nchi gani! Kamati za Bunge hutokana na wabunge na ni wabunge haohao wanaosifu kwa asilimia mia wakati wa bajeti, leo kutuambia wameshituka ni kutufanya sisi mataahira.Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
wao walifikaje bungeni?? walidhani wanafika hivi hivi bila kuchota pesa na kulipa mapololiccm na vyombo vingine? au ndio Nyani haoni.......Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi
Ndge zile zilishanunuliwa na mwendazake. Hawana pa kuzipeleka.Bado Samia anasema wameagiza ndege nyingine tano. Kwanini Ofisi ya rais watumie ndege ya ATCL wakati wakijua ndege hizo ni za biashara na wakiruka tu juu mamlaka ya anga ya kimataifa inataka walipe? Kwanini wasitumie ndege ya rais?
😅😅😅Kwanini ATCL isipate hasara wakati zinatumika na Top three kama boda boda! Utasikia Rais yupo Rwanda na lile dege kubwa Dreamliner, Makamu yupo Burundi na Airbus, huku PM yupo kwao kusalimia kwa Bombardier. Nchi imepoteza dira kabisa.
Lakini tuliwaonya sana wakatutumia magaidi kutuua.Yule mzee alitufnya mazwazwa sana...
Kamati inasemaje kuhusu ule uwanja wa kimataifa wa Chato? Njiwa zinatua pale au tufanye uwanja wa ng'ombe kuotea jua wapate vitamin D kwa wingi?
HahahaHata sishangai, management bado ile ile, wanasiasa walewale, tabia zao zile zile, kupata hasara iko kwenye DNA yao.
Bado samia anasema wameagiza ndege nyingine tano. Kwanini Ofisi ya rais watumie ndege ya ATCL wakati wakijua ndege hizo ni za biashara na wakiruka tu juu mamlaka ya anga ya kimataifa inataka walipe? Kwanini wasitumie ndege ya rais?
Sisi tukamwachia Mungu atende miujiza.... bila hiyana mdudu wa 19 akafanya kazi yake.Lakini tuliwaonya sana wakatutumia magaidi kutuua.
Nchi hii vyombo vya dola vinatusaliti. Acha watambe
Watakuja tu mkuu,kina bia yetu,johnthepastUzi huu hutawaona wazee wa ndiyo... UKIZINGATIA kamati za bunge zima ni za CCM
Mkuu hao ndiyo wanaofaidi cake ya taifa hili kupitia ccm,ndiyo maana wanabambikiza kesi ikibidi hata kuuaNchi hii vyombo vya dola vinatusaliti. Acha watambe
Haha hahaha hahaha mafuta mnaweka ya mkopo?Kamati ya bunge yang'aka na kushangaa deni la shirika la ndege la ATCL kufika shilingi bilioni 472 na kuna hatari ya kufirisika na kufa kama seikali haitaingilia kati.
HT gazeti Mwananchi