Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Hivi hawa wazazi waliozaa hao watu kweli wanajiskia Raha kabisa kuzaa watu wenye maamuzi ya aina hyo kweli. Hebu wazazi wengine wasituzalie watu wa namna hii.Hata sishangai, management bado ileile, wanasiasa walewale, tabia zao zilezile, chama kilichoshindwa kilekile, kupata hasara iko kwenye DNA yao.