Na ni washirikina mnoMadalali wengi wanaishi Kwa dhuluma.
Mtu anauza kiwanja milioni 8.
Dalali anauza milion 20 anachukua milioni 12.
Ndo maana wengi wanaishi Kwa shida
Pesa wanapata baraka hawana
Kama mtu ameridhia kupewa Mil 8 mwingine akaweza kuuza Kwa Mil 20 sijaelewa dhulma iko wapi hapo.Madalali wengi wanaishi Kwa dhuluma.
Mtu anauza kiwanja milioni 8.
Dalali anauza milion 20 anachukua milioni 12.
Ndo maana wengi wanaishi Kwa shida
Pesa wanapata baraka hawana
Mkuu biashara ni makubaliano kama wewe mwenye mari ulikuwa unataka 15 baada ya Dalali kuja na Mteja wa 30 na biashara kufanyika unabid uchukue pesa mliyo kubaliana tofauti na hapo utakuwa umeingiwa na tamaa
Patachimbikaaa😀😀Hiyo hela siwezi kukupa. Kwa kukuonea huruma nitakupa 50,000 tu.
Patachimbikaaa😀😀
Hahaha kweli kaka hela yake ya mapepo tuliuza kiwanja sehemu tugawana mtonyo aisee tukavamia bar na kulala hapo hapo na mademu asubuh tunaamka sina hata miaMadalali wengi wanaishi Kwa dhuluma.
Mtu anauza kiwanja milioni 8.
Dalali anauza milion 20 anachukua milioni 12.
Ndo maana wengi wanaishi Kwa shida
Pesa wanapata baraka hawana
kuna jamaa alichomoa eneo alikuwa anauza m30 dalali kafanya yake m50
jamaa akamwambia dalali unakula m5 dalali akawa mbongo biashara ikaahirishwa
baadaye eneo likauzwa m47 bila dalali
Hahaa nimecheka hapo uliposema wenye kazi yao.Aliuza eneo kwa mteja yule yule aliyeletwa na dalali au mwingine? Kama ni mteja yule yule basi hakukutana na madalali wenye kazi zao.
Madalali hawakubali wakupelekee mteja wa dau kubwa halafu uwazunguke. Lazima wakufanye kitu mbaya ulogwe au uuwawe. Hapo dalali kakosa 17m.
Unabishana na dalali mbavu nene?,unakula za chembe, nakomba mapene napotea 😀 😀Kiwanja nimemuuzia dalali au mteja? Ukikataa hiyo hela naweka mfukoni. Sikupi hata 100 mbovu.
Kashitaki popote pale.
Ukibisha nakataa kuuza kiwanja
Hahaa nimecheka hapo uliposema wenye kazi yao.
Ila ni ukweli dalali mwenye kazi yake usimzunguke atakufanya vibaya.
Kivipi unaiita haramu wakati wewe huna mari lakini hauna mteja na yeye Dalali hana mari liknin Mteja anayehiyo ni biashara haramu unavuna usichopanda
hiyo ya asilimia inakuwa endapo yeye Dalali anakuuzia kitu. Kanunu ya udalali inasema unabidi ulimpe asilimia 10% ya hela uliyotoa kununua kitu husika. Kama shamba ulinunua kwa laki 8 basi dalali inabid umlipe 80 eifuKwa hakika mimi lilinishinda ilo mkuu, kwenye hela uwa nakuwa simba
Usipokuwa makini wanaweza kukuuzia mkondo wa maji na kukuaminisha hapajai majiNa ni washirikina mno
Umeona eehhiyo ya asilimia inakuwa endapo yeye Dalali anakuuzia kitu. Kanunu ya udalali inasema unabidi ulimpe asilimia 10% ya hela uliyotoa kununua kitu husika. Kama shamba ulinunua kwa laki 8 basi dalali inabid umlipe 80 eifu
Kuna jamaa alikuwa dalali hata misiba ya familia anadalalia jenezaUdalali Ni laana
Mkuu kibiashara unakuwa upo nje ya makubaliano na ndo mana kabla ya yote watu huwa wanabargain. Kwamba wewe mwenye mali unataja bei unayotaka wewe na yeye dalali kweli anakutafutia hela uliyohijtaj kwaiyo mari ikiuzwa zaidi ya hapo hiyo inakuwa halali ya dalali, wewe unabidi ubaki kwenye mising ya biashara yenuHiyo hela siwezi kukupa. Kwa kukuonea huruma nitakupa 50,000 tu.
Bila dalali ungempata huyo mtejaKiwanja nimemuuzia dalali au mteja? Ukikataa hiyo hela naweka mfukoni. Sikupi hata 100 mbovu.
Kashitaki popote pale.
Ukibisha nakataa kuuza kiwanja