- Thread starter
- #61
Haipingi kuwa na haramu navyo vinadalaliwa!Tatizo la sisi wabongo tunaona kazi ya udalali ni kazi ya ujanja ujanja na ambayo sio rasmi. Saiv kuna kampuni nyingi sana zimesajiliwa na zina lipa kodi kwa serikali. Na shughuli kubwa wanazofanya ni kununua na kuuza mashamba, nyumba, viwanja, mazao na kupangisha vyumba, nyumba na mashamba kwa ajili ya kilimo. Na biashara na haifanyiki vichochoron unapelekwa ofisin na biashara haifanyiki bila ya kuwa na mikataba na lazima kuwe na nyaraka zinazohusu kitu mnachoenda kuuziana.