Kamati ya Corona ifanye kazi kwa siri, kuepuka madalali

We umejuaje?
 
Wewe ni Tapeli mzee!

Kama tumekubaliana unataka million 10 kisha nikaleta 15m unapaswa 5 yangu iliozidi yani unipe kadri ya tulivyokubaliana! Tamaa za kishamba za watu wa aina yako zilinifanya nifungue account kabisa! Biashara inafanyikia kwenye account number yangu kisha nakuhamishia hela yako bila kujua nimeingiza ngapi!

Wabongo mna tabia za kishamba sana likija swala la hela! Ndio maana hata patnership za kibongo kudumu huwa ni ngumu sana!
 
Kwa hakika mimi lilinishinda ilo mkuu, kwenye hela uwa nakuwa simba
Wewe dawa yako ni kupitia account ya dalali tu! Usijue hela ni ngapi inalipwa au mteja akipatikana unaingiziwa hela uliyotaka hata kwa kuikopa mahali halafu deal nabakia nalo mwenyewe!

Una matamaa ya kishamba sana
 
Mkuu biashara ni makubaliano kama wewe mwenye mari ulikuwa unataka 15 baada ya Dalali kuja na Mteja wa 30 na biashara kufanyika unabid uchukue pesa mliyo kubaliana tofauti na hapo utakuwa umeingiwa na tamaa
Jamaa mshamba sana
 
Huyu jamaa yeye matamaa! Kuna watu wana roho za kikatili mtu anakufanya mbaya kabisa 😂😂😂!

Contract ni kwamba unataka kiasi kadhaa tena unatakiwa umsainishe kabisa ili akiuza bei juu kinachozidi akikuhusu! Wale wanaouza nyumba kurudisha mikopo bank basi bank zingekuwa zinawang’ang’ania maana utakuta nyumba ya million 100 inauzwa million 60 na bank yao labda 40 tu!
 
Tafuta chako mzee wewe kuwa daraja la biashara haimaanishi kuwa wewe ndie mwenye mali wewe unatakiwa ulipwe kama mfanikishaji wa biashara sio mmoja umiliki
 
Uza mwenyewe usisumbue watu sasa kama unadhani kumpata mteja ni rahisi
Faida ni ya mmiliki labda awe fala
Yaani ubargain milioni 30 alafu yeye apewe 14 kwasababu alitaka kukiuza kwa hiyo bei haiwezekani
Alafu kumbuka demand ndio inayopandisha bei bidhaa kwahiyo iikipanda bado mnufaika ni yeye wacha tamaa.
 
Faida ni ya mmiliki labda awe fala
Yaani ubargain milioni 30 alafu yeye apewe 14 kwasababu alitaka kukiuza kwa hiyo bei haiwezekani
Alafu kumbuka demand ndio inayopandisha bei bidhaa kwahiyo iikipanda bado mnufaika ni yeye wacha tamaa.
Ndio nakwambia tafta wewe mteja wa million 30 kama mali haijakidodea, sababu nadhani huelewi kwamba mteja anatafutwa! Unafikiri yupo tu mahali
 
Mteja hatafutwi jamaa.
Mteja anatafuta pesa
wewe ni kiunganishi tu ambaye unastahili malipo kwa kazi yako ya kunadi siyo mgao wa biashara
Ndio nakwambia tafta wewe mteja wa million 30 kama mali haijakidodea, sababu nadhani huelewi kwamba mteja anatafutwa! Unafikiri yupo tu mahali
 
Mteja hatafutwi jamaa.
Mteja anatafuta pesa
wewe ni kiunganishi tu ambaye unastahili malipo kwa kazi yako ya kunadi siyo mgao wa biashara
Sasa ulimuhitaji dalali wa kazi gani mzee kama una uwezo wa kuuza mali yako mwenyewe? Sababu anatafutwa dalali ili mali iuzike kwa haraka na wepesi!
 
Yani Hapa jiandae kwa vifo tu sisi Tz tunahitaji kamati kweli?ni nchi pekee corona imekimbia lkn kwa ujibmnga wetu mtu anasema hatueleweki suburini majanga tu labda neema za Mungu ziingilie katibama sivyo Mob saikoloji mbayasana kufuata fuata mkumbo ni mbaya sana mzee magu amefanikiwa kwa kuwa aliamini kwenye msimamo wake sio kufuata mkumbo
 
Umeharibu Sana kuchanganya biashara na dini
Kamuulize hata kiongozi mbowe atakwambia! Zeneca imekimbiwa na mataifa lukuki ilikuwaje yeye akaja kuipigia chapuo!?
Ndipo utarudi kuelewa madalali wanapenyeza lupia kwa watu wenye ushawishi au kamati zenye ushawishi
 
Mteja hatafutwi jamaa.
Mteja anatafuta pesa
wewe ni kiunganishi tu ambaye unastahili malipo kwa kazi yako ya kunadi siyo mgao wa biashara
mkuu mpaka unamtafuta Dalali inamaana unahitaji biashara yako iende kwa maaana mari unayo lkn Mteja haujui pa kumpata. Kwa life la mjini bila kupita kwa agents unaweza usifanikishe jambo lako kwa wakati unaohitaji saiv kila seheme kuna agents vyumba, mashamba, nyumba, ticket za mabasi, masokoni na kazi
 
Tafuta chako mzee wewe kuwa daraja la biashara haimaanishi kuwa wewe ndie mwenye mali wewe unatakiwa ulipwe kama mfanikishaji wa biashara sio mmoja umiliki
Tatizo la sisi wabongo tunaona kazi ya udalali ni kazi ya ujanja ujanja na ambayo sio rasmi. Saiv kuna kampuni nyingi sana zimesajiliwa na zina lipa kodi kwa serikali. Na shughuli kubwa wanazofanya ni kununua na kuuza mashamba, nyumba, viwanja, mazao na kupangisha vyumba, nyumba na mashamba kwa ajili ya kilimo. Na biashara na haifanyiki vichochoron unapelekwa ofisin na biashara haifanyiki bila ya kuwa na mikataba na lazima kuwe na nyaraka zinazohusu kitu mnachoenda kuuziana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…