#COVID19 Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

Kamati ya Corona imeishauri Serikali ya Tanzania;

1) Itangaze uwepo wa Corona
2) Iruhusu matumizi huru ya Chanjo sahihi za Corona
3) Ikubali maadhimio ya Kikanda na Kimataifa
4) Ipanue maktaba za kupima
5) Itoe takwimu sahihi za Corona
6) Tiba asili zitathiminiwe Kisayansi
 
Kilio cha wanachadema kimesikiwa, nadhani wakiongeza kelele kidogo tu kuhusu lockdown, Napo watasikiwa na baada ya hapo chanjo itafuata

Sasa nyinyi CCM kaeni na agenda yenu ya kutoyatambua hayo Ila nchi inaenda kuambiwa Corona ipo hata kama tulifahamu hivyo
 
Magu alikua anaipeleka hii nchi kwenye shimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…